Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafataki wa Tunduru kufichuliwa

JAMII wilayani Namtumbo imeombwa kuwafichua wanaume wanaowalaghai watoto wa kike na kufanya nao mapenzi na kuwapa mimba, hali inayofanya wasiendelee na masomo yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na balozi mdogo wa Japan nchini Kazuyoshi Matsunaga (wa tatu kushoto) wakishirikiana kukata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tunduru-Mangaka Matemanga mradi unaojengwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lake la kimataifa la maendeleo JICA.Wengine pichani toka kushoto ni ni Mbunge wa Nanyumbu Dunstan Mkapa,Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Kapten Mstaafu Joseph Simbakalia,Waziri wa ujenzi Dkt. John...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mume amuua mke akihofia siri kufichuliwa

Mwanamume mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa benki nchini Uingereza, amefungwa maisha jela kwa kumuua mkewe akihofia kashfa ya mapenzi ya jinsia moja

 

11 years ago

Habarileo

Mama Pinda akemea wazazi kuficha ‘mafataki’

MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amekemea tabia ya wazazi na walezi, kuficha na kumalizana kinyemela nje ya Mahakama na wanaume, wanaotuhumiwa kukatisha masomo ya watoto wao kwa kuwapa ujauzito.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA YA IRINGA YATIMUA WALIMU 'MAFATAKI'

Mkuu wa Shule ya Sekondari
Mwembetogwa, Kevin Mlengule
SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa ya Mjini Iringa imepongezwa na wadau wake baada ya hivikaribuni kuwafukuza kazi walimu wanne wa kiume waliobainika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao wa kike maarufu  kama mafataki
“Tunataka shule nyingine ziige mfano wa shule hii, tumefarijika kusikia imechukua uamuzi huo na kwa kufanya hivyo tunaamini shule hiyo itakuwa salama kwa watoto wetu wa kike,” alisema mmoja wa wazazi wenye watoto...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Tunduru ampongeza mwekezaji

MKUU wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Chande Nalicho, amempongeza Mwekezaji wa nyumba ya kulala wageni ya Peramiho, Faustin Chale kwa uwekezaji alioufanya wilayani hapo. Alisema ujasiri wa mwekezaji huyo...

 

5 years ago

Michuzi

DC TUNDURU AUFUNDA USHIRIKA

Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Ndg. Julius Mtatiro, amevitaka vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo kuzingatia taratibu na sheria katika utendaji kazi wao na kuacha kufanya kazi kwa kwa mazoea.

Ndugu Mtatiro ametoa rai hiyo leo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku ya tatu ya vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo yaliyoandaliwa na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Shirika la Ukaguzi na usimamizi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi lami Tunduru

Mgombea urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema atahakikisha inajengwa barabara kwa kiwango cha lami katika majimbo ya Tunduru Kaskazini na Kusini.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Shaba ya Bluu yagundulika Tunduru

Shaba ya bluu ambayo imegundulika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Albano Midelo, Tunduru MADINI yenye thamani kubwa aina ya shaba ya bluu (blue copper) yamegundulika katika Kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Kugundulika kwa madini hayo kunaifanya Wilaya ya Tunduru kuwa ndiyo pekee nchini na Afrika Mashariki na Kati kuwa na madini ya shaba ya bluu. Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho, amesema utafiti unaonyesha kuwa tarafa nzima ya Nalasi ina utajiri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ukawa waambulia viti 38 Tunduru

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilani Tunduru, kimeibuka kidedea kwa kupata viti katika vijiji 105 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyia jana nchi nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani