Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC TUNDURU AUFUNDA USHIRIKA

Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Ndg. Julius Mtatiro, amevitaka vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo kuzingatia taratibu na sheria katika utendaji kazi wao na kuacha kufanya kazi kwa kwa mazoea.

Ndugu Mtatiro ametoa rai hiyo leo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku ya tatu ya vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo yaliyoandaliwa na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Shirika la Ukaguzi na usimamizi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na balozi mdogo wa Japan nchini Kazuyoshi Matsunaga (wa tatu kushoto) wakishirikiana kukata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tunduru-Mangaka Matemanga mradi unaojengwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lake la kimataifa la maendeleo JICA.Wengine pichani toka kushoto ni ni Mbunge wa Nanyumbu Dunstan Mkapa,Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Kapten Mstaafu Joseph Simbakalia,Waziri wa ujenzi Dkt. John...

 

5 years ago

Michuzi

MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA


Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Tunduru ampongeza mwekezaji

MKUU wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Chande Nalicho, amempongeza Mwekezaji wa nyumba ya kulala wageni ya Peramiho, Faustin Chale kwa uwekezaji alioufanya wilayani hapo. Alisema ujasiri wa mwekezaji huyo...

 

11 years ago

Habarileo

Mafataki wa Tunduru kufichuliwa

JAMII wilayani Namtumbo imeombwa kuwafichua wanaume wanaowalaghai watoto wa kike na kufanya nao mapenzi na kuwapa mimba, hali inayofanya wasiendelee na masomo yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi lami Tunduru

Mgombea urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema atahakikisha inajengwa barabara kwa kiwango cha lami katika majimbo ya Tunduru Kaskazini na Kusini.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Shaba ya Bluu yagundulika Tunduru

Shaba ya bluu ambayo imegundulika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Albano Midelo, Tunduru MADINI yenye thamani kubwa aina ya shaba ya bluu (blue copper) yamegundulika katika Kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Kugundulika kwa madini hayo kunaifanya Wilaya ya Tunduru kuwa ndiyo pekee nchini na Afrika Mashariki na Kati kuwa na madini ya shaba ya bluu. Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho, amesema utafiti unaonyesha kuwa tarafa nzima ya Nalasi ina utajiri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ukawa waambulia viti 38 Tunduru

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilani Tunduru, kimeibuka kidedea kwa kupata viti katika vijiji 105 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyia jana nchi nzima.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge wa Tunduru aeleza machungu ya wajawazito

Mbunge wa Tunduru Kusini, Mtutura MtuturaMBUNGE wa Tunduru Kusini, Mtutura Mtutura ametoa ushuhuda namna mkewe alivyopoteza maisha wakati wa kujifungua huku akihoji sababu za kutofanyika uchunguzi kwa vifo vya wajawazito, kubaini wanaosababisha kama ambavyo imekuwa ikifanyika zinapotokea ajali barabarani.

 

10 years ago

Vijimambo

Elimu ya awali Tunduru na changamoto zake

Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.
WADAU wa elimu nchini Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) nchini Tanzania itatolewa katika misingi inayostahiki itakuwa ni njia moja wapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo maana wanaendelea kupaza sauti wakiitaka serikali kupitia vyombo husika kuboresha kwanza elimu ya awali kabla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani