Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Tunduru ampongeza mwekezaji

MKUU wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Chande Nalicho, amempongeza Mwekezaji wa nyumba ya kulala wageni ya Peramiho, Faustin Chale kwa uwekezaji alioufanya wilayani hapo. Alisema ujasiri wa mwekezaji huyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na balozi mdogo wa Japan nchini Kazuyoshi Matsunaga (wa tatu kushoto) wakishirikiana kukata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tunduru-Mangaka Matemanga mradi unaojengwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lake la kimataifa la maendeleo JICA.Wengine pichani toka kushoto ni ni Mbunge wa Nanyumbu Dunstan Mkapa,Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Kapten Mstaafu Joseph Simbakalia,Waziri wa ujenzi Dkt. John...

 

11 years ago

Habarileo

Mafataki wa Tunduru kufichuliwa

JAMII wilayani Namtumbo imeombwa kuwafichua wanaume wanaowalaghai watoto wa kike na kufanya nao mapenzi na kuwapa mimba, hali inayofanya wasiendelee na masomo yao.

 

5 years ago

Michuzi

DC TUNDURU AUFUNDA USHIRIKA

Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Ndg. Julius Mtatiro, amevitaka vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo kuzingatia taratibu na sheria katika utendaji kazi wao na kuacha kufanya kazi kwa kwa mazoea.

Ndugu Mtatiro ametoa rai hiyo leo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku ya tatu ya vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo yaliyoandaliwa na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Shirika la Ukaguzi na usimamizi wa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Shaba ya Bluu yagundulika Tunduru

Shaba ya bluu ambayo imegundulika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Albano Midelo, Tunduru MADINI yenye thamani kubwa aina ya shaba ya bluu (blue copper) yamegundulika katika Kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Kugundulika kwa madini hayo kunaifanya Wilaya ya Tunduru kuwa ndiyo pekee nchini na Afrika Mashariki na Kati kuwa na madini ya shaba ya bluu. Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho, amesema utafiti unaonyesha kuwa tarafa nzima ya Nalasi ina utajiri wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi lami Tunduru

Mgombea urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema atahakikisha inajengwa barabara kwa kiwango cha lami katika majimbo ya Tunduru Kaskazini na Kusini.

 

10 years ago

Habarileo

Ukawa waambulia viti 38 Tunduru

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilani Tunduru, kimeibuka kidedea kwa kupata viti katika vijiji 105 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyia jana nchi nzima.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva Dar-Tunduru kupimwa afya

VITUO vya maarifa sita vitakavyotoa huduma za afya vinatarajiwa kujengwa kando ya barabara kunusuru madereva wa masafa marefu kutoka Dar es Salaam hadi Tunduru. Meneja Mradi wa North Star Alliance anayeratibu ujenzi huo, Edger Mapunda alisema jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Tunduru wahimizwa kukusanya maduhuli ya serikali

OFISI ya Madini wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, imetakiwa kutozembea na kusimamia ipasavyo ukusanyaji wa maduhuli na ulipwaji wa mirahaba, kwa kuwa sasa ofisi hiyo haijakusanya maduhuli hayo kwa kiwango cha kuridhisha.

 

5 years ago

Michuzi

BL 12.4 ZATOLEWA KWA KAYA MASKINI TUNDURU


Afisa Mwezeshaji wa mfuko wa Maendeleo ya jamii Nchini(TASAF)wilaya  ya Tunduru Mkoani Ruvuma Avelinius Rwegasira akiongea jana na wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini katika kijiji cha Tanesco Tunduru mjini wakati wa malipo kwa walengwa hao.Baadhi ya walengwa ambao ni wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini Tasaf kijiji cha Tanesco wilayani Tunduru wakisubiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani