Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafisadi wateketeza fedha za mradi Korogwe

Idara ya Kilimo ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe imeingia katika kashfa ya ufisadi baada ya kufichuliwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh45 milioni zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya kutekeleza mradi wa umwagiliaji wa mpunga uliopo Kaloleni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote.  Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA UMEME JUA UNAVYOWAKOMBOA WAKAZI WA KIJIJI CHA MPALE WILAYANI KOROGWE

Gharama za maisha kwa wakazi wa kijiji cha Mpale, wilayani Korogwe mkoani Tanga, zimetajwa kupungua kutokana na uwepo wa umeme jua unaozalishwa na kusambazwaa na kampuni ya Ensol 
Wakizungumza na Michuzi Blog,wakazi hao wamesema awali iliwalazimu kutumia mafuta ya taa ambayo yaligharimu shilingi kwa siku, hali ambayo imekuwa ikiwarudisha nyuma kimaendeleo.
Aidha wamesema licha ya nishati hiyo kuwapunguzia gharama za maisha pia imekuwa chachu ya wao kujikwamua kiuchumi kama ilivyo kwa mzee...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE.

Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi huo.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi huo.
PICHA ZAIDI...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA UALIMU KOROGWE, AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KOROGWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mtumishi wa umma asiyetaka kufuata maadili ya utumishi pamoja na maelekezo ya viongozi wake hafai kufanyakazi katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Aliyasema hayo jana jioni (Alhamisi, Machi 5, 2020) wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji Korogwe na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa TTC Korogwe akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Tanga.

Waziri Mkuu alisema uaminifu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matumizi fedha za mradi yamfurahisha waziri

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amefurahishwa na matumizi mazuri ya fedha za mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu unaolenga kuboresha sayansi na teknojia...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ukimwi siyo mradi wa kujivunia fedha’

Wadau wa mapambano dhidi ya Ukimwi wametakiwa kuacha mazoea ya kuona kuwa mapambano dhidi ya ugonjwa huo ni mradi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka fedha za mradi Kwimba

MBUNGE wa Kwimba, Shanif Mansoor (CCM), ameeleza kusikitishwa na kusimama kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa bwawa la kilimo cha umwagiliaji Kata ya Mwang’halanga wilayani hapa, na kuitaka serikali ipeleke...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa Maboresho Matumizi ya Fedha za Umma Wafanikiwa

IMGS2861

Msemaji wa Wizara ya Fedha, Bi. Ingiahedi Mduma (wa kwanza kulia) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari wanaoshiriki semina juu ya taarifa ya Mradi wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) mjini Kibaha. (Picha na Thehabari.com)

MRADI wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) umefanikiwa kuboresha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma hasa katika eneo la ukaguzi wa fedha katika taasisi na idara mbalimbali za Serikali. Kauli hiyo imetolewa jana Mjini Kibaha na Msemaji wa Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani