Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafunzo ya IPSAS kuondoa hoja za Wakaguzi – CPA Kolola




Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Biashara wa Mamlaka yaViwanja vya Ndege Tanzania (TAA), CPA Josephine Kolola leo akizungumza na Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka hiyo, wanaoshiriki mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), yanayofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA_TB2)....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Majaliwa afungua mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu, wakaguzi na wakufunzi wa vyuo vya ualimu

DSC_0838

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akifungua warsha ya mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu wa shule za Sekondari, wakaguzi wa shule na wakufunzi wa vyuo vya ualimu katika hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Mafunzo hayo yameandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu chini ya Mradi wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na kufadhiliwa na UNDP....

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA YA MWAKA: Uchaguzi wa wabunge wa Finland na mafunzo kwa watanzania

Ndugu wasomaji wangu leo nimeona niendelee na mfululizo wa kuwandaa wananchi na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kujifunza yanayotokea kwenye chaguzi za nchi nyingine duniani. Wiki mbili zilizopita niliandika tena kwa mara ya pili kuhusu uchaguzi wa Nigeria na kilichotokea katika ngazi mbalimbali za uchaguzi huo.

 

11 years ago

Michuzi

MAKUMBUSHO YA TAIFA KUENDELEA KUTOA MAFUNZO YA HISTORIA YA MUUNGANO ILI KUONDOA SINTO FAHAMU ILOYOPO

Mkufunzi wa Chuo Chuo Kikuu Cha Elumu Zanzibar Bw Haji Nyange Makame, kwa faida ya wanafunzi wake akiuliza swali Linalo husu Uhifadhi wa Historia ya Wahasisi wote wa Muungano walio shirikiana na Hayati Baba wa Taifa Mwl J.K. Nyerere na Hayati Mzee Abeid Karume. Muhifadhi mwanadamizi wa Historia, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni nchini Bi Flower Manase akiwafafanulia wanachuo cha UCEZ Historia ya Muungano. Mkufunzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Bw Bedda Athanas akiwasilisha...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA KOVA AWATAKA ASKARI WALIOMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO WA JESHI LA POLISI KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA WALIYOYAPATA KUONDOA KERO NA KUDUMISHA AMANI KATIKA MITAA YOTE YA JIJI LA DAR

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova akifurahi jambo wakati akizungumza na Askari Polisi waliomaliza Mafunzo ya uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi katika vyuo vya Polisi vya Moshi na Zanzibar,wakati alipowapokea leo Desemba 4,2014 katika Kituo cha Kati cha Polisi,Jijini Dar es Salaam.Sehemu ya Askari Polisi waliomaliza Mafunzo ya uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi katika vyuo vya Polisi vya Moshi na Zanzibar wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Kanda...

 

9 years ago

Michuzi

SSRA emerged the First winner in the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) - Best presented Financial Statements Competitionusing IPSAS


THE Social Security Regulatory Authority (SSRA) has emerged the First winner in the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) Best presented financial statements competition. SSRA competed in the International Public Sector Accounting Standards (IPSAS) category with other public entities using IPSAS. 
It’s the fourth year consecutively since SSRA started participating in the competition and throughout the period the Authority became number one for the all four years. It’s the...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CPA kuwa ya kimataifa?


Na Mwandishi Wetu, Arusha
KAMATI ya wawakilishi wa mabunge wanachama  wa Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) inatarajia kuwasilisha ripoti yenye mapendekezo ya kutaka Bunge hilo liwe na mwonekano wa kimataifa.
Ripoti hiyo itawasilishwa katika mkutano mkuu wa 45 unaofanyika mjini Arusha.
Uamuzi wa kuwasilishwa kwa ripoti hiyo ulifikiwa jana na kamati ya wawakilishi wa mabunge wanachama wa umoja huo,  iliyoketi katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya  Ngurdoto.
Akizungumza katika kikao cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CPA kufunguliwa na Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete, anatazamiwa kufungua mkutano wa 45 wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika unaojumuisha wajumbe 500 kutoka nchi 17 wanachama. Miongoni mwa mambo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu

BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...

 

11 years ago

Mwananchi

Ufaulu ngazi ya CPA waongezeka

Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), imesema watahiniwa wa shahada ya juu ya ukaguzi nchini CPA-(T) imeongezeka kutoka 478 mwaka 1975 na kufikia 5,646, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani