Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko yaleta balaa Mwanza

Baadhi ya wakazi wa Kata ya Mbugani, Mtaa wa Mbugani A na B wameathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha jana kwa saa nne.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yaleta uharibifu Uingereza

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron,amesema kuwa pesa sio hoja wakati huu ambapo maelfu wanahitaji msaada wa dharura

 

11 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yaleta maafa Burundi

Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kufariki nchini Burundi baada ya kusombwa na maji pamoja na maporomoko ya udongo.

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC :Mafuriko yaleta hasara kubwa Kivu

Familia nyingi zimesalia bila makao baada ya mafuriko kubomoa nyumba zaidi ya 100 katika tarafa ya Fizi Kivu kusini Jamhuri ya Congo.

 

11 years ago

GPL

MAFURIKO YALETA MAAFA KYELA, WAZIRI MWAKYEMBE ATUA HUKO

Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira Muda huu  Baadhi ya watu wakigangaika kupita juu ya maji hayo yaliyotokana na Mafuriko…

 

9 years ago

Vijimambo

COKE STUDIO YALETA BURUDANI DAR, MWANZA, ARUSHA NA MBEYA

 Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri. *************Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face. Baada ya uzinduzi huo zilifanyika party za kukata na shoka katika viwanja...

 

11 years ago

GPL

LINAH, DIAMOND BALAA MWANZA

Stori: Musa Mateja UZINDUZI wa Serengeti Fiesta 2014 juzikati ulirindima baada ya msanii wa kizazi kipya anayefanya poa kwa sasa Estelina Sanga ‘Linah’, kufanya balaa wakati wakiimba wimbo walioshirikiana na mkali Nasib Abdul ‘Diamond’ jukwaani. Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Estelina Sanga ‘Linah’ na Nasib Abdul ‘Diamond’ wakicheza kwa pamoja katika uzinduzi wa Serengeti...

 

10 years ago

GPL

MVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YASABABISHA MAFURIKO

Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mafuriko hayo kutokea. Maji yakiwa yamefurika katika moja ya mtaa ya Jiji la Mwanza.…

 

10 years ago

GPL

MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO JIJINI MWANZA

Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha jijini Mwanza. Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza  kwa saa tatu na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo hasa sehemu za Mabatini na kusababisha nyumba nyingi kujaa maji. Mvua hiyo pia imesababisha hasara kubwa ya uharibifu wa mali huku…

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WATAABIKA NA MAFURIKO KUTOKANA NA MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA.

Miongoni mwa nyumba zilizopo Mtaa wa Kilimahewa Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza ambazo huathirika na kero ya Maji kuingia ndani pindi mvua zinapoanza kunyesha.
Pichani ni mmoja wa wakazi wa Kilimahewa akitoa maji ndani ya nyumba yake kutokana na mvua iliyoanza kunyesha majira ya saa kumi na mbili alfajiri hii leo. Hadi tunaenda hewani (saa 10:30 asubuhi) Mvua hiyo inaendelea kumiminika mdogomdogo.
Picha na Loyce NhalukeMbali na Kilimahewa, Pia wakazi wa Mabatini Jijini Mwanza hukumbwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani