Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magazeti ya Mwananchi kidedea tena

Kwa mara nyingine, magazeti ya Mwananchi yameibuka kinara kwa kuandika habari za uchaguzi bila upendeleo, kwa kuzingatia weledi na kuwapa wananchi nafasi ya kuzungumza na wagombea wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magazeti ya Mwananchi yaibuka tena kidedea uchaguzi

Kwa mara ya tano mfululizo, magazeti ya Mwananchi na The Citizen yameibuka kinara wa kuandika habari za uchaguzi bila upendeleo kwa vyama vya siasa wala wagombea tangu kuanza kwa kampeni zilizodumu kwa siku 64.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasifia magazeti ya Mwananchi

Magazeti yanayochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) ya Mwananchi na The Citizen yametajwa kuwa vinara wa kuripoti habari za uchaguzi bila kuonyesha ushabiki wala upendeleo tofauti na mengine nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwananchi yazindua uchapishaji magazeti Mwanza

Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. (MCL), jana ilizindua mpango kabambe wa kuchapisha magazeti yake jijini Mwanza na kuyasambaza asubuhi katika mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Nkamia: Magazeti ya Mwananchi yanaaminiwa

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amesema magazeti ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), yanasomwa na kuaminiwa na wananchi, hivyo yaendelee kufanya kazi kwa weledi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwananchi yapongezwa tena kwa uandishi mahiri

Gazeti la Mwananchi limetajwa kuwa ni mfano bora kwa kuripoti habari za uchaguzi wa mwaka huu bila upendeleo huku likiwapa wananchi fursa ya kuzungumza na wagombea wao.

 

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI NA MHARIRI MKUU WA MAGAZETI YA MWANANCHI NA CITIZEN WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NA VOA WASHINGTON, DC

 Kulia ni mkurugenzi mkuu wa magazeti ya Mwananchi na Citizen Bwn. Francis Majige Nanai akijiandaa kutia sani kitabu cha wageni kushoto ni mhariri mkuu wa magazeti hayo Bwn. Bakari machumu siku ya Jumamtano June 3, 2015 walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchin Marekani. Mhariri mkuu wa magazeti ya Mwananchi na Citizen Bwn. Bakari Machumu akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani. Mkurugenzi wa magazeti ya Mwananchi na Citizen Bwn....

 

10 years ago

GPL

CHAMPIONI YATOA ZAWADI TENA KWA WAUZA MAGAZETI

Muuzaji akikabidhiwa mwamvuli baada ya kupewa meza ya kuuzia magazeti eneo la Feri, Dar. Muuzaji huyo akisimika mwamvuli. Kulia ni Afisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda.…

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani