Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwananchi yazindua uchapishaji magazeti Mwanza

Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. (MCL), jana ilizindua mpango kabambe wa kuchapisha magazeti yake jijini Mwanza na kuyasambaza asubuhi katika mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magazeti ya Mwananchi kidedea tena

Kwa mara nyingine, magazeti ya Mwananchi yameibuka kinara kwa kuandika habari za uchaguzi bila upendeleo, kwa kuzingatia weledi na kuwapa wananchi nafasi ya kuzungumza na wagombea wao.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasifia magazeti ya Mwananchi

Magazeti yanayochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) ya Mwananchi na The Citizen yametajwa kuwa vinara wa kuripoti habari za uchaguzi bila kuonyesha ushabiki wala upendeleo tofauti na mengine nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Nkamia: Magazeti ya Mwananchi yanaaminiwa

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amesema magazeti ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), yanasomwa na kuaminiwa na wananchi, hivyo yaendelee kufanya kazi kwa weledi.

 

9 years ago

Mwananchi

Magazeti ya Mwananchi yaibuka tena kidedea uchaguzi

Kwa mara ya tano mfululizo, magazeti ya Mwananchi na The Citizen yameibuka kinara wa kuandika habari za uchaguzi bila upendeleo kwa vyama vya siasa wala wagombea tangu kuanza kwa kampeni zilizodumu kwa siku 64.

 

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI NA MHARIRI MKUU WA MAGAZETI YA MWANANCHI NA CITIZEN WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NA VOA WASHINGTON, DC

 Kulia ni mkurugenzi mkuu wa magazeti ya Mwananchi na Citizen Bwn. Francis Majige Nanai akijiandaa kutia sani kitabu cha wageni kushoto ni mhariri mkuu wa magazeti hayo Bwn. Bakari machumu siku ya Jumamtano June 3, 2015 walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchin Marekani. Mhariri mkuu wa magazeti ya Mwananchi na Citizen Bwn. Bakari Machumu akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani. Mkurugenzi wa magazeti ya Mwananchi na Citizen Bwn....

 

11 years ago

GPL

GLOBAL ILIVYOWAANDALIA SHEREHE WAUZA MAGAZETI MWANZA

Mwakilishi wa Global Publishers Masumbuko Ali, akizungumza na wauza magazeti wa Jiji la Mwanza. Muuza magazeti akisoma gazeti la Risasi.…

 

11 years ago

GPL

CHAMPIONI YAWANG'ARISHA WAUZA MAGAZETI MWANZA

Wakala wa magazeti ya Global Publishers jijini Mwanza, Khamis Kikasi (katikati mwenye kofia) akitoa tisheti za Championi kwa baadhi ya wauzaji wa magazeti jijini humo. Baadhi ya wauzaji wa magazeti jijini Mwanza wakiwa katika pozi baada ya kukabidhiwa tisheti kutoka gazeti la…

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA NYAKASUNGWA SENGEREMA, MWANZA NA GEITA

Afisa Elimu wa Wilaya ya Sengerema Benjamin Sipetro akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya Airtel katika kijiji cha Nyakasungwa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wa tatu kulia ni Meneja masoko kanda ya ziwa Emmamuel Rafael.
Afisa Elimu wa Wilaya ya Sengerema Benjamin Sipetro AKIKABIDHI VITABU VYA MASOMO YA SAYANSI katika shule ya sekondari ya Nyakasungwa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza,wa tatu kulia ni...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAZINDUA DUKA UPYA JIJINI MWANZA

 Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa,Dominician Mkama(wa kwanza kushoto) akishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenzake kukata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la kampuni hiyo mkoani mwanza baada ya kukarabatiwa upya katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakigonganisha glasi kufurahia uzinduzi wa duka la kampuni hiyo upya baada ya kukarabatiwa kwa muda wa miezi miwili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani