Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magazeti ya Serikali yapongezwa

BALOZI wa India nchini, Sandeep Arya ameisifu Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), kwa kuchapisha habari za kuaminika kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya uandishi wa habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Serikali yapongezwa kujali wenye ulemavu

SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), limempongeza Rais John Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuyajali na kuyapa kipaumbele masuala ya Watanzania wenye ulemavu kwa kuhamishia masuala yao chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa utekelezaji wenye tija.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasifia magazeti ya Mwananchi

Magazeti yanayochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) ya Mwananchi na The Citizen yametajwa kuwa vinara wa kuripoti habari za uchaguzi bila kuonyesha ushabiki wala upendeleo tofauti na mengine nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali atembelea shamba la mkuu wa wilaya ya mvomero

 Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka  ( kulia) akimwonesha Mhariri Mtendaji  wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Bw. Gabriel Nderumaki ,aina ya ufuta naozaa kwa wingi wakati alipotemtembeza  kuona Mradi wa Kilimo wa Mkuu wa Wilaya hiyo, lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 100  linalojumuisha kilimo cha mahindi , Ufuta na ufugaji wa samaki , katika Kijiji cha Lubungo, wilayani humo.  Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwanahabari Mohamed Mambo wa Magazeti ya Serikali afiwa na Mkewe kuzikwa Ijumaa

MKE WA MAMBO (IMG-20150916-WA0002)Mke wa mwanahabari na mpiga picha mkuu wa TSN, Mohamed Mambo,  Marehemu Margaret Mwaisaga enzi za uhai wake

TANGAZO LA KIFO

Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania standard Newsapapers Limited (TSN), wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Bwana Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga kilichotokea hospitali ya TMJ tarehe 15.09.2015. Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu mikocheni nyumba namba 87...

 

11 years ago

Dewji Blog

JK amteua Gabriel Nderumaki kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN)

NDERUMAKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki (pichani) kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Mei, 2014.

Kabla ya uteuzi huo Bwana Nderumaki alikuwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo.

“Mwisho”

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu.

Dar es Salaam.

22 Mei,...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Bw. Gabriel Nderumaki kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).

Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki,Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN). 
 Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Mei, 2014.
 Kabla ya uteuzi huo Bwana Nderumaki alikuwa Kaimu Mhariri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

St. Methew Kongowe yapongezwa

MKURUGENZI Msaidizi wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Magret Komba ameipongeza shule ya sekondari St. Mathew ya Kongowe Pwani, kwa kufaulisha wanafunzi 477 kwenda kidato cha tano mwaka huu....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel yapongezwa Mtwara

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda, ameipongeza kampuni ya simu za mikononi ya Airtel kwa kuboresha mazingira ya maduka yao kuwa ya kisasa na kiusalama zaidi kwa watumiaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani