Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magolikipa wawapa kichapo cha Mbwa mwizi Waandishi!

TIMU ya magolikipa inayoongozwa na mlinda mlango  Ivo Mapunda wa Simba, Shaaban Kado wa Coastal Union na Salehe Malande wa Ndanda juzi waliiongoza timu yao ya Chama Cha Magolikipa Tanzania (TAGA FC) kuiadhibu ile ya waandishi wa Habari za Michezo nchini (Taswa FC) magoli 3-0 kwenye mchezo maalum wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Bora, Kijitonyama jijini Dar es salaam.
Awali mchezo huo ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Karume kabla ya kuahamishiwa uwanja wa bora kutokana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0

Siphiwe Tshabalala alipigia msumari wa moto jeneza la Free State jana

TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA ANAYESADIKIKA KUWA MWIZI APOKEA KICHAPO CHA NGUVU

 Hapa akipelekwa eneo ambalo ameiba baada ya kukamatwa wakati anakimbia eneola mtaa wa Uhuru, Mwenge jijini Dar.  Kibaka akiwa amekula kichapo cha maana baada ya kukamatwa na Laptop za wizi. Mama Aliyevaa Kilemba aliyemshika mtu anayesemekana ni mwizi akitoa ufafanuzi kwa majirani wa eneo hilo leo kuhusu wizi ulivyotokea katika mtaa wa uhuru eneo la Mwenge jijini Dar
 Laptop ambazo alikuwa amekamatwa nazo Kibaka akielezea kabla ya wananchi wenye hasira kali hawajaanza kumpa kichapo Hapa ndipo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Makasisi wapewa kichapo cha Mbwa Guinea

Makasisi watatu wa kanisa la Baptist nchini Guinea wamechapwa na kisha kiuetkwa nyara baada ya wenyeji kudhania kwamba walikuwa maafisa wanaohamasisha jamii dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

 

11 years ago

Michuzi

NEW YORK YAPATA KIPIGO CHA MBWA MWIZI, YAPACHIKWA 5-0 NA DMV, PBZ WADHAMINI MECHI HIYO

Timu ya New York Timu ya DMV  Mwakilishi wa mgeni rasmi Afisa Suleiman Saleh akisalimiana na refa Mohammed.
Timua New York siku ya Jumamosi ilizima fegi mbele ya timu ya DMV kwenye mtanange uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa DMV wakiongozwa na wachezaji wa timu zote mbili kwa kutambiana kwenye mitandao ya kijamii kabla ya mtanange huo kuhitimishwa hapo jana siku ya Jumamosi May 24, 2014 katika uwanja wa Walker Mills Park uliopo Capitol Heights.
Mbali na mechi hiyo kuwa nzuri...

 

5 years ago

CCM Blog

WAANDISHI WACHEZEA KICHAPO

Waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro akiwamo wa gazeti la Mwananchi, Janeth Joseph walijikuta katika wakati mgumu katika mkutano wa Mbunge wa Hai (Chadema), Freeman Mbowe baada ya askari polisi waliovaa sare na wengine kiraia kuwapiga kwa vitako vya bunduki walizokuwa wamebeba.

Kabla ya kutokea vurugu hizo, juzi katika mkutano wa Mbowe uliokuwa ukifanyika katika viwanja vya Nkoromu katika Kata ya Masama kati wilayani Hai, polisi walivamia gari la mbunge huyo wakitaka kuingia ndani kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.

 Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care Tanzania, baada ya  kuwasili wote sasa wanapangwa makundi makundi kwa ajili ya kuanza mchakato wa siku Hapa katika kundi la kwanza washiriki wa Shindano la  Mama Shujaa wa Chakula , Shindano linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow hapa wakiwahamasisha wanakijiji cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,Man United italipiza kichapo cha 5-3?

Timu hizo mbili zilipokutana mwezi Septemba mwaka jana manchester united licharazwa maba 5-3 katika uwanja wa Leicester.

 

11 years ago

GPL

DEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO CHA TRAFIKI

Dereva bodaboda (hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti
........akionesha uso wa hudhuni baada ya kichapo. Askari wa usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani