Magufuli achuana vikali na Lowassa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo mbalimbali ya Tanzania ambayo mchuano mkali unaonekana kuwapo kati ya Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli na Mgombea kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ni Lowassa au Magufuli?
USHINDANI Mkali katika uchaguzi wa mwaka huu unamfanya mtu atake kujua kama Baba wa Taifa, Mwali
Mwandishi Wetu
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Dk. Magufuli, Lowassa 50/50
ZIKIWA zimesalia siku 72 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa nchini wanaamini kuwa hadi sasa hakuna mgombea mwenye uhakika wa ushindi wa moja kwa moja.
Wagombea wawili, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chadema ndio wanaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Akizungumzia uchaguzi huo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba, aliliambia Raia Tanzania kuwa uchaguzi wa mwaka huu...
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Nagu: I know Lowassa and Magufuli
9 years ago
GPLSIRI YA MAFURIKO YA LOWASSA, MAGUFULI...
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Magufuli, Lowassa wapigana vikumbo
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pamoja na mwenzake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, wamepigana vikumbo mahakamani huku kila mmoja akisaka kiapo cha mahakama kuthibitisha rasmi kuwania nafasi hiyo.
Magufuli na Lowassa kwa sasa wamekuwa mahasimu wa kisiasa tangu waziri mkuu huyo wa zamani alipotangaza kuihama CCM baada ya mchakato wa urais uliofanyika mjini Dodoma Julai...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U9cJ436L1le1Hmk0MPrkbqi22S0v0v*hFdEBcMQxv8sXneg57zpN1uJAHKPOy8X4SRJyxcsYGEEF9lCytwCEP4pMAh1bk3fv/Lowassa.gif?width=650)
LOWASSA, MAGUFULI SHUGHULI PEVU
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Magufuli, Lowassa ni kimyakimya leo
WAGOMBEA urais wanaotarajiwa kuwa na mchuano mkali kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, Dk. John Magufuli (CCM) na Edward Lowassa (Chadema), wanarejesha fomu za kugombea nafasi hiyo leo kwenye Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Tofauti ni ilivyokuwa takriban wiki mbili zilizopita wakati wanasiasa hao walipokwenda kuchukua fomu hizo tayari kwa kutafuta wadhamini sehemu mbalimbali nchini, leo watalazimika kwenda kimyakimya.
Wakati wa kuchukua fomu ambapo Dk. Magufuli...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Magufuli Jangwani, Lowassa Taifa
KAMPENI za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinaanza rasmi mwishoni mwa wiki hii ambapo wagombea wa vya
Mwandishi Wetu
9 years ago
Habarileo02 Sep
Dovutwa awatambia Magufuli, Lowassa
MGOMBEA urais kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa, amesema atahakikisha anawapinga kwa hoja wagombea wenzake wa nafasi hiyo ili awapelekee ufunguo wa Ikulu waliomtuma.