Magufuli akanusha kulazwa
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amekanusha madai ya kuugua na kulazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), Katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Keshi arejea licha ya kulazwa na Uganda
11 years ago
Mwananchi20 May
Wagonjwa walalamika kulazimishwa kulazwa Amana
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Mtoto aliyepigwa na babake na kulazwa afariki dunia
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YaOfrKdI_fM/VVXJORsI0RI/AAAAAAAAFkU/ZUK0HqK5Uc0/s72-c/1.jpg)
Mchungaji Gwajima Avamiwa.....Apigwa Panga Kichwani na Kulazwa ICU
![](http://2.bp.blogspot.com/-YaOfrKdI_fM/VVXJORsI0RI/AAAAAAAAFkU/ZUK0HqK5Uc0/s640/1.jpg)
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima jijini Mwanza, Samson Gwajima na Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Amin Neigwa, wamevamiwa na majambazi ambao wamewajeruhi vibaya kwa kuwakata mapanga vichwani.Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika Mtaa wa Lyila, Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza.Akizungumza kwa taabu na mwandishi wetu akiwa wodini kwenye Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), alikolazwa kwa matibabu, Neigwa, alisema akiwa...
10 years ago
Bongo509 Dec
Drake adaiwa kulazwa hospitali baada ya kupewa kichapo na P.Diddy
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Picha Hizi Za Wastara Za Kulazwa Hospitali Zawaacha Mashabiki Njia Panda
Picha hizi za muigizaji, Wastara Juma,akiwa hospitali amelazwa baada ya kufanyiwa vipimo zimewaacha mashabiki katika njia panda, wengine wakiamini anaumwa na kuanza kuampa pole huku wengine wakiamini yupo kazini yaani anatengeneza filamu.
Picha hizi aliziweka Wastara mwenyewe mtandaoni bila ya kuandika chochote, na hadi sasa ajajibu hata comment moja kutoka kwa followers wake ambao wanataka athibitisha kama kweli ni mgojwa.
Bongomovies.com haikufanikiwa kumpata Wastara kwa njia ya simu...
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Kijana aliyetuhumiwa kufanya jaribio la wizi aambulia kipigo cha ‘Mbwa mwizi’ na kulazwa Hospitali ya Wilaya ya Igunga
Kijana aliyefanya jaribio la kuiba na kutofanikiwa zaidi ya kuambulia kipigo cha ‘Mbwa mwizi’ kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mjini Igunga akipatiwa huduma ya kwanza mara tu baada ya kufikishwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Mtuhumiwa huyo kabla ya kushushwa kwenye gari la polisi.
Na Jumbe Ismailly, Igunga
KIJANA mmoja ambaye hakuweza kutambulika mara moja amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga,...
10 years ago
Bongo Movies16 Jul
Ray Akanusha Kujichubua
Staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi ‘Ray’ amekanusha madai kuwa anajichubua.
Ray ameiambia Bongo5 kuwa anasikitishwa na watu wanaodai kuwa anajichubua bila kujua kuwa mtu akiwa na maisha mazuri anaweza kubadilika.
“Kwanza sijichubui, tatizo unajua baadhi ya watanzania wengi, hawaelewi mimi sijichubui, ila maisha yamebadilika,” amesema.
“Unajua unapokuwa na maisha magumu ya kwanza, unaposhindwa kujikimu, kujinunulia nguo, yaani kufanya unachokitaka kwa muda unaoutaka, unakuwa mweusi kwa...