Magufuli ashusha maelekezo mashirika ya umma
RAIS John Magufuli ametoa maelekezo ya utendaji uliotukuka kwa wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma na watendaji ili kuhakikisha huduma zinazotolewa kwa wananchi zinakuwa bora na kuepuka matumizi ya ziada yasiyokuwa ya lazima.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Magufuli awaweka roho juu vigogo mashirika ya umma
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Mashirika ya umma balaa
9 years ago
Habarileo10 Nov
Magufuli ashusha rungu Muhimbili
RAIS Dk John Magufuli ameanza kudhihirisha kuwa serikali yake haitakuwa na simile kwa watendaji wazembe baada ya jana kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) pamoja na kumuondoa madarakani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo, Dk Hussein Kidanto.
9 years ago
Habarileo07 Sep
Dk Magufuli afunika Moro, ashusha neema
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Serikali atakayoiongoza itajenga viwanda vikubwa, vya kati na vidogo ili kuongeza ajira na mapato ya Serikali, huku akiwaahidi wakazi wa Morogoro kufufua viwanda vyao.
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Dk Magufuli ashusha neema ya barabara Moshi
9 years ago
StarTV01 Dec
Wakurugenzi,wenyeviti watakiwa kusimamia mashirika ya umma Ili kuliingizia taifa faida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli amewaagiza wakurugenzi na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma nchini kuhakikisha taasisi na kampuni wanazosimamia zinazalisha.
Agizo hilo limetolewa na Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru kwenye mkutano wa wakurugenzi na watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya umma .
Agizo la serikali limezilenga taasisi zake kuhakikisha zinajiendesha kwa faida na kuliingizia taifa faida ili kuendelea kutoa huduma kwa jamii kwa mashirika ya...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-22Ku11mfSd8/U0t-aWzYvlI/AAAAAAAFaic/tqFw7sHWdnE/s72-c/UN2.jpg)
Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma wafanya Tamasha la Michezo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
![](http://2.bp.blogspot.com/-22Ku11mfSd8/U0t-aWzYvlI/AAAAAAAFaic/tqFw7sHWdnE/s1600/UN2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pMs8nstE1MI/Xq6dLi2pX7I/AAAAAAALo8E/2Si1BxuhzbUxnwmzIM6XWI9CHvhksyEkQCLcBGAsYHQ/s72-c/short%2Bpapaya%25281%2529.jpg)
RAIS DK.MAGUFULI ASHANGAZWA VIPIMO KUONESHA MAPAPAI, MBUZI, FENESI , KWARE KUKUTWA NA CORONA...ATOA MAELEKEZO
![](https://1.bp.blogspot.com/-pMs8nstE1MI/Xq6dLi2pX7I/AAAAAAALo8E/2Si1BxuhzbUxnwmzIM6XWI9CHvhksyEkQCLcBGAsYHQ/s640/short%2Bpapaya%25281%2529.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KUNA mnganganyiko mkubwa kwenye matokeo ya vipimo vya sampo za Corona.Ndivyo anavyoelezea Rais Dk.John Magufuli baada ya kufanyika kwa uchunguzi kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama katika Maabara ya Taifa ya Tanzania kuhusu vipimo vya Corona.
Kwa mujibu wa Rais Magufuli katika maabara hiyo iliyokuwa inapima Corona kuna changamoto nyingi za ajabu hasa baada ya kuona kila wanapotoa matoeo basi lazima yawe Positive, positive tu mara nyingi.
Hivyo alipokuwa...
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
TEWUTA wampongeza Rais Dk. Magufuli, wamuomba kugeukia mashirika ya mawasiliano ya Serikalini
Katibu mkuu wa TEWUTA, Junus Ndaro (katikati) alkizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TEWUTA, Pius Makuke, kushoto ni afisa kutoka chama hicho. (Picha na Rabi Hume)
Na Rabi Hume
[DAR ES SALAAM] Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA), kimemtaka rais wa Tanzania, Dr. John Magufuli kuyasaidia mashirika ya mawasiliano yaliyo chini ya seikali kutokana na mashirika hayo kuwa na hali...