Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Magufuli ashusha neema ya barabara Moshi

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli juzi alitangaza neema ya barabara katika Jimbo la Moshi Mjini baada ya kuombwa kufanya hivyo na mgombea ubunge wa jimbo hilo, Davis Mosha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Dk Magufuli afunika Moro, ashusha neema

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Serikali atakayoiongoza itajenga viwanda vikubwa, vya kati na vidogo ili kuongeza ajira na mapato ya Serikali, huku akiwaahidi wakazi wa Morogoro kufufua viwanda vyao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa ashusha neema kwa shule ya msingi Kivule‏‎

Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawati.

Meya wa manispaa ya  Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (Mayors Ball) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada...

 

10 years ago

GPL

MSTAHIKI MEYA WA ILALA JERRY SILAA ASHUSHA NEEMA KWA SHULE YA MSINGI KIVULE‏‎

Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akimkabidhi msaada huo wa madawati mia moja (100) mwalimu mkuu wa shule ya msingi kivule Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akipeana mkono wa shukrani na mratibu Bw.Mkami Sudayi…

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMUAHIDI DAVIS MOSHA KILOMETA 10 ZA BARABARA MOSHI MJINI

Mh. Magufuli  Akimnadi Mgombea ubunge
wa Moshi Mjini Mh. Davis Elisa Mosha.

  Mkutano wa Kampezi za  Mgombea Urais Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro umerindima jana katika Jimbo la Moshi mjini katika Viwanja vya Mashujaa na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa CCM wa Wilaya, Mkoa na Kitaifa.Mbali na Mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alikuwepo Mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm na Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndhugu Emanuel Nchimbi,...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ashusha rungu Muhimbili

RAIS Dk John Magufuli ameanza kudhihirisha kuwa serikali yake haitakuwa na simile kwa watendaji wazembe baada ya jana kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) pamoja na kumuondoa madarakani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo, Dk Hussein Kidanto.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ashusha maelekezo mashirika ya umma

RAIS John Magufuli ametoa maelekezo ya utendaji uliotukuka kwa wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma na watendaji ili kuhakikisha huduma zinazotolewa kwa wananchi zinakuwa bora na kuepuka matumizi ya ziada yasiyokuwa ya lazima.

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atangaza neema

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema Serikali atakayoiongoza baada ya kuchaguliwa, itapandisha mishahara ya watumishi wote wa umma ilingane na ile ya Wakala wa Taifa wa Barabara (Tanroads), ambayo aliianzisha na kuwapa wafanyakazi wake mishahara minono.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani