Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli ni nani

Mbio za urais za Dk John Magufuli zilianza Juni 5, 2015 alipochukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM katika Makao Makuu chama hicho mkoani Dodoma, baada ya kuteuliwa na chama chake na baadaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Alizindua kampeni Agosti 23, kwenye Viwanja vya Jangwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

John Magufuli ni nani?

AJIRA ya kwanza ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Joseph Magufuli (55) ilikuwa ni ualimu na atasherehekea siku yake ya kuzaliwa siku nne tu baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Kwa mujibu wa wasifu wake uliogawiwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM uliomchagua kuwa mgombea juzi katika Ukumbi wa Mikutano wa CCM uliopo Dodoma, Magufuli alianza kazi akiwa mwalimu wa masomo ya kemia na hisabati katika Shule ya Sekondari Sengerema mkoani Mwanza.

Kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli, Lowassa nani atatufaa kwa siasa za nje?

“Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. Walimuondoa madarakani rais Saddam, hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!”.Sikuamini masikio yangu kwamba haya ni maneno yaliyotoka kinywani mwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli.

 

10 years ago

Raia Mwema

Kama akiwa Rais Nani atamfunga ‘gavana’ Magufuli?

NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwa kutoweka ghafla, na kwa muda mrefu katika safu hii.

Johnson Mbwambo

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF

Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yake Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.

 

10 years ago

Mwananchi

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: Dk Ashatu Kijaji – Naibu Waziri Fedha na Mipango

Dk Ashatu Kijaji ndiye Naibu Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mawaziri la mwanzo la Rais John Pombe Magufuli. Kiongozi huyu mwanamama na kijana ameteuliwa katika nafasi hii kwa kuwa yeye ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimbo la Kondoa Vijijini liliko mkoani Dodoma. Kabla hajawa mbunge Kijaji amekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani