Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Nitachukua mashamba yasiyotumika

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kunyang’any’a mashamba ambayo yamehodhiwa na watu bila kutumiwa kwa ufugaji wala kilimo, na kuyagawa kwa wakulima na wafugaji wasio na maeneo ya kilimo. Alisema hayo alipozungumza na wananchi wa wilaya za Ulanga na Kilombero mkoani Morogoro jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Wananchi wagawiwe mashamba

Igunga/Babati. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwagawia wananchi mashamba yaliyorudishwa serikalini baada ya wawezaji kushindwa kuyaendeleza kabla hajaingia madarakani.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aahidi kurejesha mashamba Kapunga

MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi atakapochaguliwa kuwa rais, atarudisha sehemu ya mashamba ya Kapunga ya wilayani Mbarali katika mkoa wa Mbeya kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli sasa aombwa kutaifisha mashamba Kibaha

Wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani wamemuomba Rais John Magufuli kutaifisha mashamba yaliyotelekezwa na kugeuka mapori ili ayarudishe serikalini kwa ajili ya shughuli za kiuchumi.

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto: Nitachukua uamuzi mgumu

Zitto_Kabwe_2011Na Freddy Azzah, Kigoma

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametua jimboni kwake na kuomba kuungwa mkono kwa hatua yoyote atakayochukua kuanzia sasa.

Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, alipokuwa katika kikao cha ndani na viongozi wa jimbo hilo.

Ingawa hakuweka wazi ni hatua gani atakayochukua, lakini wachambuzi wa siasa wanasema pengine atachukua uamuzi mgumu kutokana na matukio kadhaa yaliyomtokea katika maisha yake ya kisiasa.

Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na takriban watu 250,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakati ukifika nitachukua fomu - Membe

>Siku mbili baada makada waliokuwa wamefungiwa kwa makosa ya kukiuka kanuni za CCM kuachiwa huru, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameeleza nia yake kuwa wakati ukifika atachukua fomu kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Nyalandu: Nitachukua uamuzi mgumu

Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema anaamini kuwa rais ajaye wa Tanzania, atakuwa ni kijana na kusema kwamba kila zama zina kitabu chake.Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili hivi karibuni, waziri huyo alisema kuwa itakuwa ni kosa iwapo Rais Jakaya Kikwete atakabidhi kijiti kwa mtu mwenye umri unaofanana naye.Nyalandu alibainisha kwamba wakati ukifika, atatangaza iwapo atagombea urais au kuendelea kugombea ubunge katika jimbo lake la Singida...

 

11 years ago

BBCSwahili

Migogoro ya mashamba TZ

Haba Na Haba inaangaazia uwekezaji kwenye ardhi namigogoro baina ya wananchi na wawekezaji wa mashamba makubwa.

 

11 years ago

Habarileo

JK aridhia mashamba 8 kugawiwa wananchi

RAIS Jakaya Kikwete ameridhia mashamba manane kati ya 11 ya mkonge wilayani Muheza yaliyotelekezwa, kugawanywa upya kwa wananchi wenye matatizo ya ardhi wilayani humo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mashamba ya bangi yateketezwa Moro

OPERESHENI maalumu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kutokomeza mashamba ya bangi imefanyika na kufanikiwa kuwakamata watu wanne wamiliki wa mashamba hayo katika Wilaya za Kilosa, Mvomero na Morogoro....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani