Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Polisi, msiwe wanyonge kwa majambazi

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema serikali yake itaimarisha masilahi ya wafanyakazi wote wakiwamo polisi, ili wasiwe wanalinda na kukosa fedha za kula nyumbani na hatimaye kusinzia vituoni na kunyang’anywa silaha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi

Polisi wawili mkoani Geita, G 6512 PC Hamis Zunzu na E1465 Koplo Said Mohamed wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi raia wa Burundi na Mtanzania mmoja, huku jambazi mmoja akiuawa na wananchi baada ya kujeruhiwa na risasi mguu na kushindwa kukimbia.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanashangiliwa kwa kuua elimu ya wanyonge

Nguvu kubwa inayotumika kuigawa Tanzania na kuleta matabaka makubwa ya kiuchumi, kifikra na kiutamaduni ni kuua elimu ya Watanzania wengi maskini (wanyonge), ili wakose nguvu za kushindana katika ulimwengu wa ubunifu, uvumbuzi, ajira na biashara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siku ya Sheria iwe mkombozi kwa wanyonge

KESHO ni kilele cha Siku ya Sheria nchini, ni utaratibu wa kawaida wa kila mwaka uliojiwekea mhimili wa Mahakama. Kilele hicho ni ishara ya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama...

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua polisi hotelini

ASKARI Polisi, Mohamed Mjomba (44) amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na majambazi, waliovamia Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Uroa Wilaya ya Kati Unguja.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua Polisi wawili

ASKARI Polisi wawili kutoka Tarafa ya Usoke wilayani Urambo mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan Kaganda, alisema mauaji hayo yamefanyika juzi saa 2: 30 usiku katika kijiji cha Usoke wilayani Urambo.

 

11 years ago

GPL

UNDANI POLISI ALIYEUAWA NA MAJAMBAZI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Going,’ Pwani
JUMANNE, Juni 10, mwaka huu majambazi yapatayo sita, yalivamia Kituo Kidogo cha Polisi Kimanzichana na kupora silaha na baadaye kumuua askari polisi mmoja, mgambo mmoja na kumjeruhi mwingine na kutoweka. Marehemu Venance Mushi enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa mashuhuda, majambazi hayo yalifika katika kituo hicho majira ya saa saba usiku, yakiwa yanakokota bodaboda mbili...

 

11 years ago

Mwananchi

Wizara ya Ardhi ni kikwazo kwa maendeleo ya wanyonge nchini

Mimi ni mmoja kati ya wananchi waliofarijika, siku niliposikia Rais Benjamin Mkapa mwaka 2004 anamleta mtaalamu wa uchumi kuja kuisaidia Tanzania kubaini kila Mtanzania anamiliki nini kinachoweza kumsaidia kukopa katika benki na kumwinua kiuchumi.

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua 7 kituo cha Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari alipowasili kukagua Kituo cha Polisi Sitaki Shari Ukonga, Dar es Salaam jana baada ya kuvamiwa na majambazi wanaodaiwa kupora silaha kituoni hapo juzi usiku. Askari wanne na raia watatu waliuawa katika tukio hilo. Kulia kwake ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. (Na Mpigapicha Wetu).ASKARI wanne na raia watatu wameuawa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa majambazi kuvamia Kituo cha Polisi cha Sitakishari kilichopo Ukonga katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani