Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama za Rufaa kujengwa mikoa yote

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman.MAHAKAMA ya Tanzania inatarajia kujenga Mahakama za Rufani katika mikoa yote nchini ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za utendaji wa haki kwa wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgomo wa maderva: Kizazaa mikoa yote

Wananchi waliokuwa wamepanga kusafiri kutoka mikoa mbalimbali, jana walijikuta kwenye hali ngumu baada ya mabasi kushindwa kuondoka kama ilivyokuwa imepangwa kutokana na mgomo wa madereva ulioendeshwa nchi nzima kwa takriban saa tisa kabla ya Serikali kuingilia kati.

 

10 years ago

Habarileo

Sendeka: Magufuli anakubalika mikoa yote

MJUMBE wa Kamati ya Kampeni wa CCM, Christopher ole Sendeka, amesema mikoa yote ambako wamezunguka, wamejihakikishia kuwa mgombea wa chama chao, Dk John Magufuli anakubalika zaidi kuliko mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa.

 

11 years ago

Mwananchi

Bawacha sasa kuzunguka mikoa yote

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema, (Bawacha), Halima Mdee amesema baraza hilo litafanya ziara nchi nzima kuwaeleza wananchi namna Rasimu ya Katiba ilivyochakachuliwa na Wajumbe wa Bunge Maalumu.

 

10 years ago

Habarileo

Hospitali za rufaa mikoa 25 kuboreshwa

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.HOSPITALI 26 za rufaa katika mikoa 25 nchini, zitafanyiwa maboresho ili zitoe huduma bora za afya kupitia mradi wa Japan International Co-operative Agency (JICA) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Maghembe asimamisha maofisa misitu wa mikoa yote

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi Endelevu ya Rasilimali za Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mohammed Kilongo na maofisa wa misitu wa mikoa nchi nzima kupisha uchunguzi wa upotevu wa mapato ya Serikali.

 

5 years ago

Michuzi

MAJUKWAA YA HAKI JINAI YA MIKOA YOTE YAZINDULIWA KITAIFA SINGIDA

 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi aliyesimama akizindua Jukwaa la Haki Jinai Mkoa wa Singida. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) Nchini, Biswalo Mganga na kulia in Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Angerina Lutambi  Picha ya pamoja  baina ya Mkrugenzi wa Mashitaka,(DPP) Biswalo Mganga mwenye suti , Mkuu wa Mkoa wa Singida (mwwnye kilemba) anayefuata Dkt.Angelina Lutambi  Katibu Tawala Mkoa wa Singida na wajumbe wa Jukwaa la Haki Jinai Mkoa wa Singida Mara baada ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamba atunzwa kwao apata wadhamini kuliko mikoa yote aliyopita

Mh January Makamba alikua katika mkoa wa Tanga alipokulia na kuzaliwa, wakazi wengi wa Tanga Walijitokeza Kumpokea kwa Shangwe nyingi.

Wananchi wa mkoa wa Tanga wamejitokeza watu wengi kumdhamini kuliko mikoa yote aliyopita ambapo jumla ya watu 15,043 wamejitokeza kwenye ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi CCM mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015……Fuatilia matukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani