Mgomo wa maderva: Kizazaa mikoa yote
Wananchi waliokuwa wamepanga kusafiri kutoka mikoa mbalimbali, jana walijikuta kwenye hali ngumu baada ya mabasi kushindwa kuondoka kama ilivyokuwa imepangwa kutokana na mgomo wa madereva ulioendeshwa nchi nzima kwa takriban saa tisa kabla ya Serikali kuingilia kati.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Bawacha sasa kuzunguka mikoa yote
10 years ago
Habarileo04 Feb
Mahakama za Rufaa kujengwa mikoa yote
MAHAKAMA ya Tanzania inatarajia kujenga Mahakama za Rufani katika mikoa yote nchini ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za utendaji wa haki kwa wananchi.
9 years ago
Habarileo11 Oct
Sendeka: Magufuli anakubalika mikoa yote
MJUMBE wa Kamati ya Kampeni wa CCM, Christopher ole Sendeka, amesema mikoa yote ambako wamezunguka, wamejihakikishia kuwa mgombea wa chama chao, Dk John Magufuli anakubalika zaidi kuliko mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa.
10 years ago
Vijimambo28 Apr
Mgomo mzito wanukia. Mabasi yote ya abiria yapanga kugoma nchi nzima.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/SUMATRA-28April2015.jpg)
Siku 17 baada ya madereva wa mabasi mchini kugoma na kutikisa nchi, Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) kimetangaza mgomo mwingine nchi nzima.
Mgomo wa Aprili 9, mwaka huu uliodumu kuanzia alfajiri hadi saa 7:00 mchana ulitikisa nchi na kuwaathiri abiria wengi waliokuwa wanasafiri kwenda maeneo mbalimbali ya nchi.
Jana Taboa walitangaza kusitisha utoaji huduma kuanzia kesho ikiwa ni hatua ya kupinga nauli mpya za mabasi zilizotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi...
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Waziri Maghembe asimamisha maofisa misitu wa mikoa yote
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5DE5ch8fIg4/XllfcGjIcaI/AAAAAAAAf5c/W55KNpfZuIAZcry3rPihZSlEyALrLjcwwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200228-WA0015.jpg)
MAJUKWAA YA HAKI JINAI YA MIKOA YOTE YAZINDULIWA KITAIFA SINGIDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-5DE5ch8fIg4/XllfcGjIcaI/AAAAAAAAf5c/W55KNpfZuIAZcry3rPihZSlEyALrLjcwwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200228-WA0015.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-bCw5Uj4VB28/XllfcX94qmI/AAAAAAAAf5g/eCe_A9Ec27wEDbdgm_NfEn8R9ouGxKyVwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200228-WA0016.jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Makamba atunzwa kwao apata wadhamini kuliko mikoa yote aliyopita
Mh January Makamba alikua katika mkoa wa Tanga alipokulia na kuzaliwa, wakazi wengi wa Tanga Walijitokeza Kumpokea kwa Shangwe nyingi.
Wananchi wa mkoa wa Tanga wamejitokeza watu wengi kumdhamini kuliko mikoa yote aliyopita ambapo jumla ya watu 15,043 wamejitokeza kwenye ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi CCM mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015……Fuatilia matukio...
5 years ago
MichuziDODOMA ITAKUWA NA UMEME MWINGI KUPITA MIKOA YOTE NCHINI – WAZIRI KALEMANI
Serikali kupitia Wizara ya Nishati, inakamilisha mradi mkubwa wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme kilichopo Zuzu Dodoma, ambacho baada ya kukamilika kitakuwa na uwezo wa megawati zaidi ya 600, hivyo kuongoza Tanzania nzima kwa wingi wa umeme.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, Februari 19, 2020 alipofanya ziara katika kituo hicho kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi husika.
Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri amebainisha kuwa, kwa...
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Nyalandu arejesha fomu za wadhamini aliowapata katika mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akiteremka kwenye Coaster mara baada ya kuwasili makao makuu ya ofisi za CCM Dodoma kwa ajili ya zoezi la kuruisha fomu.
Baadhi ya wanachama wa CCM waliomsindikiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kwa tiketi ya CCM mjini Dodoma, jana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amerejesha fomu za wadhamini aliowapata katika mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani ambazo...