Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahmoud Abbas,Netanyahu waandamana

Mfalme wa Jordan na Rais wa Palestinian Mahmoud Abbas wameshiriki maandamano yaliyofanyika mjini Paris Ufaransa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mahmoud Abbas kuishtaki Israel

Rais wa Palestina amekataa kukubali mamilioni ya dola ambazo ni fedha za kodi ambazo zilikuwa zimezuiliwa na Israeli.

 

10 years ago

BBCSwahili

Netanyahu na Abbas katika malumbano tena

Waziri mkuu wa Israel amelaumu kiongozi wa mamlaka ya Palestina kwa kuchochea machafuko mapya.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

BBCSwahili

Papa awapokea Peres na Abbas

Papa amewapokea viongozi wa Israil na Palestina Vatikani ili kuomba amani Mashariki ya Kati

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog

"Kuna wakati nilikuwa nakwenda kwenye jalala la soko dogo pale Keko kuokota vilivyotupwa na kutafuta vyenye nafuu ili twende nyumbani kupika kupata chakula."
Najua mimi na wewe tunafamiana toka tukiwa wadogo lakini kwa faida ya wasomaji naomba ujitambulishe majina yako halisi:  Asante, mimi ninaitwa Mahmoud Ramadhan Zubeiry, mtaani walizoea kuniita MudiUnaweza ukatuelezea kidogo kuhusu elimu yako?  Shule ya msingi nilisoma pale Mgulani, baadaye nikaenada Rutabio sekondari kabla ya kufanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mahmoud achukua fomu kwa mikogo Z’bar

Mgombea wa CCM katika Jimbo la Kiembesamaki, Mahmoud Thabit Kombo jana amechukua fomu ya kuwa mwakilishi na kuwa mgombea wa tatu huku akisifu demokrasia ya chama hicho kwamba ni adilifu na shirikishi kuliko vyama vingine vya siasa nchini.

 

11 years ago

GPL

MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA LEO UWAMJA WA BUSTANINI

Na Andrew Chale, Zanzibar
CHAMA cha Mapinduzi CCM, leo Januari 28, kinatarajia kufanya kampeni yake ya Sita (6) ya mkutano wa hadhara kwenye eneo la uwanja wa  Bustanini, katika kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki,  ambapo mgeni rasmi wa kumnadi Mgombea anatarajiwa kuwa, Mwenyekiti wa Mkoa wa Magharibi wa CCM, Mohammed Yusufu Mrefu. Akielezea mkutano huo wa Sita wa hadhara, unaotarajiwa kuwa majira ya Saa...

 

5 years ago

BBC

Mahmoud Dicko: Mali imam challenges President Keïta

Mahmoud Dicko is spearheading mass protests against the West African state's embattled president.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani