MAINDA: NIMETUMIKA SANA KWA NGONO, POMBE!
![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAoOJt0n-E5dYP6POP8uBQWLitUmUcwDlyCJjaJF3cdepQPuXVBNwShX6-WAfDyQpAhypss9H3oBlP-oPSUk-V0/mainda.jpg?width=650)
Brighton Masalu STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ametoa ushuhuda mzito (confession) baada ya kukiri kuishi maisha ya starehe ikiwemo unywaji pombe na kukosea mwanaume sahihi wa maisha kwa kuingia kwenye uhusiano tofauti jambo aliloliita ni ‘kumtumikia shetani kwa pombe na ngono’. Staa mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza kwa njia ya simu na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdYHvXB5V9zOgTDStMSFtV*h3YpZ7fplnBlSbJbBDxJ1YOOwaXDp-m6NhUQMIfNfPpjZeywP7Zh5Bps*qOC5Ogp*/MAINDA.jpg)
MAINDA NIMEFANYA SANA ANASA, SASA BASI!
10 years ago
Bongo Movies26 Apr
“Nimetumwa Sana Pombe Bongo Movie”
Staa wa Bongo Movie, Brenda Malembeka ‘Kunguru’ ameibuka na kuanika ukweli wa maisha yake kuwa kabla ya kutoka kisanaa, aliteseka sana kwa kutumwa pombe na wasanii waliokuwa tayari na majina makubwa.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Kunguru alisema kwa kipindi hicho ilimlazimu akubali kutumwa pombe na mastaa kwani lengo lake lilikuwa ni kupatiwa nafasi ya kucheza uhusika ukuu. “Nilikubali sana kutumwa pombe na mastaa wakubwa ili lengo langu litimie, nashukuru Mungu kwa sasa nimepata shavu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq*4NYUDI-tYNP0QvGhbwAuIPgPLhWC2hccknK81TRgwdOz4xt1XryFtxsKwVVit99uvSnbmn0l2DrUklO-NTwCl/c.jpg?width=650)
KUNGURU: NIMETUMWA SANA POMBE BONGO MOVIE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv8BqBsejRUObzmle8KbjPt6Ek98hPB6tKVV-g7b-1Ws95UPolPlyFiH-5syaWfUcUMBulYz-vMEPxPm3eewSLnV/FRONT.jpg)
JOHARI ATUBU KUMPORA RAY KWA MAINDA
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
11 years ago
Habarileo13 Jun
Tuhuma za kutibu kwa ngono zipo kwa mwanasheria
JALADA la kesi ya waganga wa jadi wawili wanaotuhumiwa kubaka baada ya kutoa tiba kwa wanawake ili wapate watoto, kwa masharti ya kushiriki nao ngono bila kinga, limepelekwa kwa Mwanasheria wa Kanda wa Serikali kwa hatua zaidi.
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...
9 years ago
Michuzi02 Jan
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Kahawa yakipekee kwa ngono