MAITI YAOMBEWA IFUFUKE, YAGOMA
![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL3ZmPMd3ID1d19wGzmRlWmcLC0tXUxIOPVhVBlDZikEfPRIW*rsukmwUVx2PJ2kxV0KBsM0ek6qZEvl1bA7MvnA/MAOMBI.jpg?width=650)
Haruni Sanchawa na Gabriel Ng’osha HIKI ni kioja! Ndugu wa marehemu Elitha Kaizilege ambaye alipatwa na mauti katika Hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni jijini Dar wiki iliyopita, walifanya tukio la aina yake baada kutokukubali kama ndugu yao amefariki. Ndugu wa marehemu Elitha Kaizilege wakipeleka mwili wa ndugu yao kanisani kwa ajili ya maombi. Ndugu hao wa marehemu walizuia mwili huo kupelekwa mochwari na badala...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL18 Dec
MAITI YAGOMA KUSAFIRISHWA ELDORET NCHINI KENYA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nAF0Ev2OBb8/VOvhmyGzG0I/AAAAAAAHFho/AqN3YY6ioCQ/s72-c/unnamed%2B(46).jpg)
Nyambui alilia riadha ifufuke upya nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-nAF0Ev2OBb8/VOvhmyGzG0I/AAAAAAAHFho/AqN3YY6ioCQ/s1600/unnamed%2B(46).jpg)
==============================
![](http://1.bp.blogspot.com/-xWmTlGHrwDA/VOvirLIyBpI/AAAAAAAHFhw/Ux2S9yzy70E/s1600/images.jpg)
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui (picha ndogo) akizungumza katika...
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Yanga yaombewa dua
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Katiba inayopendekezwa yaombewa dua njema
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi akihutubia wakati wa dua ya kuiombea Katiba mpya inayopendekezwa.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
DUA ya shukurani ya kuiombea Katiba mpya Inayopendekezwa imefanyika jana mjini Dodoma na viongozi mbalimbali wa dini toka madhehebu mbalimbai yakiwemo ya Kiislamu, Kikristo, Wasabato, Wahamadiya, Jamaat Khan, Singh Temple na CCT-Dodoma.
Akiongea wakati wa dua hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi, Mhe. Dkt. Rehema...
10 years ago
Habarileo16 Apr
Sumatra 'yagoma' kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza kushusha nauli za mabasi ya Masafa Marefu huku ikiacha kabisa kuzigusa nauli za mabasi katika miji mikubwa, maarufu kama daladala.
10 years ago
Habarileo07 Nov
Serikali yagoma kuahirisha kura za maoni
SERIKALI imesema haitaahirisha kufanyika kwa kura ya maoni Aprili mwakani kwa Katiba mpya Inayopendekezwa ili fedha zilizopangwa kwa kazi hiyo zitumike kuwapa mikopo wanafunzi 8,000 wa vyuo vya elimu ya juu, walioshindwa kupewa mikopo hiyo kwa ukosefu wa fedha.
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Yanga yagoma kuifuata Simba Zanzibar
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya soka ya Yanga ni kama inawakwepa watani wao wa jadi Simba, baada ya kuachana na mpango wake wa kuweka kambi visiwani Zanzibar kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza Jumamosi hii.
Awali mabingwa hao wa Ligi Kuu walipanga kuifuata Simba Zanzibar, lakini ghafla wamebadili msimamo wao na kuamua kubaki jijini Dar es Salaam kwa madai huenda wakapata tabu ya uwanja wa kufanyia mazoezi wakiwa Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha,...
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Breaking News!!! Mabasi Ubungo yagoma asubuhi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa umati mkubwa wa abiria wameanza kupata taabu ya usafiri baada ya baadhi ya mabasi kuanza mgomo baridi.
Mgomo huo umeanza muda huu katika kituo cha mabasi cha Ubungo, hata hivyo baadhi ya mabasi yaliyokuwa yakielekea safari zake nje ya nchi ya Tanzania na baadhi yao yalibahatika kuanza safari yakitokea katika kituo hicho kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani..
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi...