Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majenerali watano wakamatwa Burundi

Dar/Bujumbura. Maofisa wa ngazi za juu wa Burundi wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga njama za kumpindua Rais Pierre Nkurunziza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mwalimu na Wenzake Watano Wakamatwa na Mifupa ya Albino Walikuwa Wakiiuza Milioni Mia Sita


WATU sita, akiwemo Mwalimu wa Shule ya Msingi Katunguru iliyoko Kata ya Wendele, Tarafa ya Msalala wilayani Kahama, wamekamatwa mjini hapa wakiwa na vipande sita vya mifupa inayodhaniwa kuwa ya albino.
Taarifa zilizopatikana mjini hapa zimeeleza kwamba, mwalimu huyo Bahati Kilungu Maziku (56), Msukuma na mkazi wa Mtaa wa Mbulu katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, amekamatwa akiwa na watu watano, wakiwemo waganga wa jadi watatu, katika harakati za kuuziana mifupa hiyo.

Wengine waliokamatwa ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Waliomuua jenerali Nshimirimana wakamatwa

Kiongozi wa mashtaka nchini Burundi amesema kuwa watu kadhaa wanaoshukiwa kutekeleza mauaji ya jenerali,Adolphe Nshimirimana wamekamatwa

 

10 years ago

Mwananchi

Nkurunziza atua Burundi, waasi watatu wakamatwa

>Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amewasili jijini Bujumbura ikiwa ni siku mbili baada ya waasi kutangaza kumuondoa madarakani na tayari majenerali watatu waliotangaza mapinduzi wamekamatwa huku wanajeshi 12 wakiuawa.

 

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Majenerali wa mapinduzi walivyokamatwa

Baadhi ya majenarali waasi wa mapinduzi walivyokamatwa nchini Burundi baada ya jaribio la mapinduzi kugonga mwamba

 

11 years ago

Habarileo

Mbatia: Majenerali waongezewe pensheni

MBUNGE wa Kuteuliwa na Rais, James Mbatia ameiomba serikali iwaongeze pensheni wastaafu nchini, ikiwemo majenerali wa jeshi, kama vile Jenerali Mirisho Sarakikya na Brigedia Jenerali Hashim Mbita. Alisema hayo wakati akichangia Hotuba ya Wizara ya Fedha, iliyowasilishwa bungeni mjini hapa jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Majenerali 2 waihama kambi ya Machar

Majenerali wawili waasi nchini Sudan Kusini wametangaza kwamba wamejitenga na kundi la waasi linaloongozwa na Riek Machar.

 

10 years ago

GPL

MAJENERALI 12 WASTAAFU WA JWTZ WAAGWA DAR

Wastaafu na viongozi wa juu wa jeshi wakiwa katika meza kuu. Meja Jenerali Chalres Jitenga (kushoto) Meja Jenerali mstaafu Hassan Chema (katikati) na Luteni Jenerali, Charles Makakala.…

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Trump asema kambi za kijeshi zenye majina ya majenerali waliotukuza utumwa ni turathi ya Marekani.

Rais wa Marekani Donld Trump anasema kwamba hana mpango wa kubadilisha majina ya kambi za kijeshi zilizotajwa baada ya majenerali walioongoza jeshi la Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani