‘Majeshi yatakiwa kuunganisha nguvu’
SERIKALI imeshauriwa kuunganisha nguvu za majeshi yote katika mapambano dhidi ya maadui wa ndani wapya watano ambao ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Akizungumza na Tanzania Daima kwa niaba ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Haujatimia...Je Nguvu za Binadamu zinaweza Kuzuia Nguvu za Mungu...

Naleta kwenu msaswali machache ili mpate kunisaidia. Katika tabiri nyingi zilizopata kutabiriwa ndani ya vitabu vitakatifu kama BIBLIA na vinginevyo zimekuwa zikitimia pasipi shaka.Siku za nyuma kidogo huyu nabii anaye itwa TB Joshua Kutoka Nigeria alimtabiria mheshikiwa Edward kuwa ndiye raisi ajaye sasa kila mtu anajua kilicho tokea ni kitugani muda mfupi ulio pita.
SASA NAULIZA HIVI, JE BINADAMU ANAYO MAMLAKA AU NGUVU YOYOTE KATIKA KUBATILISHA KILE KINACHO TAJWA KUWA NI UTABIRI AMBAO...
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
Raia Mwema02 Sep
Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Matapeli wa kuunganisha umeme waibuka
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limewataka wananchi kuwa makini na utapeli unaofanywa na baadhi ya watu ambao wanawarubuni wanaotaka kufungiwa umeme katika makazi yao kwa kuwadanganya kwamba wanaweza kuwasaidia kwa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Mawasiliano mapya kuunganisha Dar, Zanzibar
SERIKALI imezindua mradi wa njia mpya ya mawasiliano unaounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine. Hatua hiyo sasa inafanya Zanzibar kuimarika kimawasiliano hasa...
10 years ago
Habarileo31 Mar
Baraza la kuunganisha vijana nchini kuundwa
SERIKALI imesema kwamba Baraza la Vijana litakaloundwa, kitakuwa ni chombo cha kitaifa cha kuwaunganisha vijana kubaini changamoto zinazowakabili, bila kujali itikadi zao za kisiasa, dini, rangi na jiografia na namna ya kuzitatua.
11 years ago
Mwananchi12 Oct
Umuhimu wa kuunganisha Kiswahili Afrika Mashariki
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Vodacom, Tigo sasa kuunganisha huduma