Majina ya wafu yadaiwa kuwa kwenye sajili
Wakazi katika maeneo mengi Zanzibar wamekuwa wakifika vituo vya tume ya uchaguzi kuhakiki taarifa zao kuhakikisha majina na maelezo kuwahusu yamenakiliwa vyema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Oct
Majina ya wafu(Waliokufa) yadaiwa kuwa kwenye usajili
19 Oktoba 2015 Imebadilishwa mwisho Wakazi katika maeneo mengi Zanzibar wamekuwa wakifika vituo vya tume ya uchaguzi kuhakiki taarifa zao kuhakikisha majina na maelezo kuwahusu yamenakiliwa vyema. Baadhi wamedai kuona majina ya watu waliofariki kwenye sajili. […]
The post Majina ya wafu(Waliokufa) yadaiwa kuwa kwenye usajili appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili10 Dec
Yanayojiri kwenye misa ya wafu ya Mandela
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Uturuki yadaiwa kuwa na ushirika na IS
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
MAPYA YAJITOKEZA: Yadaiwa kuwa “Mpenzi” wa LULU aliyefariki alikuwa mume wa mtu.
Habari zinazoendelea kutufikia kwenye meza yetu zinadai kuwa marehemu Seki aliyefariki ghafla hapo jana ambaye pia anadaiwa kuwa mpenzi wa mwanadada Elizabeth Michael – LULU alikuwa ni mume wa mtu na ameacha mjane na watoto.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu huyu marehemu Lusekelo maarufu kama seki alikuwa ni mfanyabiashara hapa mjini mwenye biashara kadhaa na alikuwa na uwezo mzuri tu wa kifedha.
Habari za uhakika zinasema kuwa Chanzo cha kifo cha Bw Seck kilisababishwa na kumuokoa mtoto...
11 years ago
Michuzi
FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.
Stuttgart,Ujerumani,

9 years ago
Bongo511 Nov
Nicki Minaj apotea kwenye mitandao ya kijamii ghafla, yadaiwa uhusiano na Meek Mill umeanza kumharibia

Nicki Minaj amewatia hofu mashabiki wake baada ya kupotea kwenye Instagram na Twitter kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Chanzo kilicho karibu na Nicki Minaj kimeuambia mtandao wa Urban Islandz Jumatatu hii kuwa Nicki amepumzika na mitandao ya kijamii ili kurekodi muziki mpya na kutumia muda wake mwenyewe zaidi.
“After constantly being on the road and always working sometimes you need to take some time off to work on your personal life,” kilisema chanzo hicho.
Kiliendelea kuwa Minaj amekuwa kimya...
11 years ago
Habarileo11 Dec
Wanaojisajili majina bandia kwenye simu kukiona
SERIKALI imetoa onyo kwa watu wanaosajili namba za simu kwa kutumia majina bandia na kueleza bayana kuwa watachukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo kwenda jela miezi sita au kutozwa faini.
11 years ago
Michuzi19 Jun
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA PILI IDARA YA UHAMIAJI

Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza. Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Natasha: Majina ya Kiingereza kwenye filamu yana mvuto
MWIGIZAJI wa siku nyingi nchini, Susan Humba ‘Natasha’, amesema wazalishaji wa filamu wengi wa Tanzania walikuwa wakitumia majina ya Kiingereza kwenye filamu zao kwa madai kwamba huvutia yanapotamkwa tofauti na ya Kiswahili.
“Wazalishaji wa filamu hizo walikuwa wakidai kwamba majina hayo huvutia kutamkwa mfano ‘My love’, inavuta na inatamkika vema kuliko ‘Mpenzi wangu’.
Hata hivyo, alieleza kwamba miaka ya sasa wengi wamebadilisha hulka hiyo na kutumia majina ya Kiswahili yenye maana husika...