Makahaba kutimuliwa kutoka mjini Nairobi
Bunge la jimbo la jiji la Nairobi limepiga kura kuwaondoa makahaba kutoka katika barabara zilizo katikati mwa mji mkuu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Jun
Makahaba kutoka Rwanda wanaswa Dodoma
WANAWAKE wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya ukahaba.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-u6E7WXa4O1Q/VUgCr_a7klI/AAAAAAADmCo/23hjbQEMn9E/s72-c/PYojInlRd4g_BW3q0t2mVSJFzMVD2VZH79MupWHkNTs%2COaDRB_UGTcrUEKC6OrYw-4r7sbAva31S5isLw5yLZy4.jpg)
Ziara Ya Swahili Blues Band Mjini Nairobi
![](http://3.bp.blogspot.com/-u6E7WXa4O1Q/VUgCr_a7klI/AAAAAAADmCo/23hjbQEMn9E/s640/PYojInlRd4g_BW3q0t2mVSJFzMVD2VZH79MupWHkNTs%2COaDRB_UGTcrUEKC6OrYw-4r7sbAva31S5isLw5yLZy4.jpg)
Makadam na Prasad wakiwajibika
![](http://3.bp.blogspot.com/-SZdVdtlVMGM/VUgCs6Rz1MI/AAAAAAADmCw/uOvYvV4efts/s640/mfjv0beQX0yz81DjIKULBV18xbOExIE2u_Sxh40R-M0%2C_h8TjOfk1Hm2UjH-VQr3rYhj0-IRM_qUhSEoTW_KuNE.jpg)
Baada ya ziara ya mafanikio ya mwezi mmoja mjini Addis Ababa, bendi ya Swahili Blues chini ya uongozi wa Leo Mkanyia imefanya ziara nyingine mjini Nairobi.
Bendi hiyo yenye maskani yake katika hoteli ya nyota tano ya Serena iliyo katikati ya mji wa Dar es Salaam ilianza ziara yake katika klabu maarufu inayojulikana kama Choices iliyopo katika barabara ya Baricho kwenye kitongoji cha Industrial Area. Shoo hiyo kabambe ilifanyika siku...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-n3tOJoho1G0/Xosw1vsai_I/AAAAAAAA_Ac/bd6sU9xoHK0AQWjn1OH8WbkuRZVAkV-wACNcBGAsYHQ/s72-c/download.jpg)
RAIS KENYATTA ATANGAZA MARUFUKU YA KUTEMBEA MJINI NAIROBI, KILIFI, KWALE MOMBASA
![](https://1.bp.blogspot.com/-n3tOJoho1G0/Xosw1vsai_I/AAAAAAAA_Ac/bd6sU9xoHK0AQWjn1OH8WbkuRZVAkV-wACNcBGAsYHQ/s640/download.jpg)
Idadi ya watu walioambukizwa nchini Kenya sasa imefikia jumla ya watu 158 huku vifo vikiwa ni 6. Kulingana na rais Kenyatta watu 4277 wamefanyiwa vipimo vya virusi vya corona.
Bwana Kenyatta pia amewaagiza Wakenya wote kuvaa barakoa katika maeneo yote ya umma, na kuepuka maeneo yenye mikusanyiko ya...
9 years ago
VijimamboVijana kutoka Dar washuhudia Coke Studio ‘live’ Nairobi.
10 years ago
MichuziMkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile waanza mjini Nairobi,Kenya
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Rais Kenyatta atangaza ametangaza marufuku ya kutotembea mjini Nairobi, Kilifi, kwale Mombasa
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1g16UEyhuRg/VVkMB9dG-JI/AAAAAAAHX0U/at02BqqkE_k/s72-c/DSC_0054.jpg)
KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-1g16UEyhuRg/VVkMB9dG-JI/AAAAAAAHX0U/at02BqqkE_k/s640/DSC_0054.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kaktHiH5rCE/VVkMJfK5OrI/AAAAAAAHX0c/_xLAzikWPLE/s640/DSC_0057.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tU1pqI2wenE/VVkMSy655vI/AAAAAAAHX0s/GwD4lPmWAro/s640/DSC_0096.jpg)
10 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Kutoka Bunge mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Katika Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe. Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum...