Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makinda: Lissu, wenzake acha kabisa!

Spika wa Bunge Anne Makinda ametangaza rasmi kutogombea tena nafasi hiyo, huku akisema kulikuwa na wabunge watundu wanane waliomchangamsha na kumlazimisha ajifunze kwa haraka baadhi vifungu vya kanuni za Bunge.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2014 ACHA KABISA

Acha kabisa! Fainali ya lile shindano kubwa la mrembo wa Miss Tanzania 2014 limechukua nafasi usiku wa kuamkia jana, Jumapili ambapo Ijumaa Wikienda lilikuwepo ndani ya eneo la tukio kukukusanyia matukio yote yaliyojiri mbele na nyuma ya pazia hivyo lina full story. Warembo 30 walioshiriki kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wakionesha shoo ya kufa mtu. WAREMBO 30
Baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania na Mkurugenzi...

 

9 years ago

Global Publishers

Bella kuonjesha Acha Kabisa Dar Live

christian bellaaChristian Bella ‘Obama’.

Andrew carlos

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuonjesha ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide siku ya mkesha wa Mwaka Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar.

Akizungumza na Vijstori f’lani hivi, Bella anayebamba na Ngoma ya Nashindwa na Amerudi akiwa na Malaika Music Band, alisema kuwa siku hiyo mashabiki wake watapata bahati ya kuzisikia pia nyimbo...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Christian Bella f/ Koffi Olomide – Acha Kabisa

acha kabisa artwork

Ngoma ya Christian Bella aliyomshirikisha Koffi Olomide imetoka. Inaitwa Acha Kabisa. Isikie hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: CHRISTIAN BELLA - ACHA KABISA ft. KOFFI OLOMIDE (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Global Publishers

Usiku wa Masebene Dar Live… Twanga pepeta acha kabisa!

Twanga (1)Ally Choki akiimbaTwanga (2)Waimbaji Kalala Jr. (Kushoto), Jumanne Ramadhani na Haji wakiimba kwa pamoja.Twanga (3)Kalala na Luiza Mbutu.Twanga (4)Mpiga gitaa la besi, Oseya akiserebuka na mnenguaji wa bendi hiyo.Twanga (5)Wanenguaji, Maria Salome na Haji wakifanya yao.Twanga (6)Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.Twanga (7)Oseya na Kalala Jr wakitimiza wajibu wao jukwaani.Twanga (8)Wanenguaji wakionesha umahili wao kwa staili ya mgongomgongo.

Na Issa Mnally

USIKU wa masebene ndiyo tunaweza kusema hivyo baada ya Bendi ya Muziki wa dansi ya African Stars...

 

9 years ago

Dewji Blog

Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live… Acha Kabisa!

IMG_7348Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoIMG_7989Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.

IMG_7359Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.IMG_1416Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.IMG_7371Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.IMG_7324Diamond akiwachombeza mashabiki. IMG_7325Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume. IMG_7344Akiongea na mashabiki. IMG_7377

IMG_7379

IMG_7383Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.IMG_7390Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake...

 

5 years ago

Michuzi

MANENO MATATU YA KIBABE YA MAGUFULI KATIKATI YA GONJWA LA VIRUSI VYA CORONA...ACHA KABISA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

RAIS Dk. John Magufuli hakika wewe ndio Rais wangu na ndio Rais wa Watanzania wote.Hilo halina ubishi na ukiona kuna mtu anabisha ujue atakuwa na mtindio wa akili.

Kwanza mtu wa aina hiyo unamuangalia kwa kejeli halafu unamcheka kwa dharau.Potelea mbali acha akajifunze. Rais wangu Dk.Magufuli hakika Mwenyezi Mungu ametupa wewe ni zawadi kwetu Watanzania.Tutakulinda kama mboni ya jicho.Tutakutetea panapostahili kukutetea, tutakupigania pale tunapostahili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makinda, Lukuvi, Lissu uso kwa uso sabasaba

PG4A1491

Waheshimiwa, William Lukuvi (kulia), Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakibadilishana mawazo , Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Maktaba).

Na Mwandishi wetu

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, Kesho atakuwa katika banda la ofisi za Bunge ili kutoa maelezo kwa wananchi kuhusiana na namna ya utendaji wa Bunge.

Akizungumza jana katika banda la ofisi za Bunge lililopo viwanja vya maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, Ofisa Habari wa Bunge, Owen Mwandumbya, alisema kuwa Makinda atambatana na...

 

9 years ago

Bongo5

Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee — Ray C

Sio mara ya kwanza kwa Rehema Chalamila a.k.a Ray C kulalamika kuhusu kunyimwa dawa ya Methadone ambayo amekuwa akiitumia ili kumsaidia kuondokana na addiction ya dawa za kulevya, lakini safari hii ametumia ukurasa wake wa Instagram kulalamika kuwa ameonewa tena japo hakuweka wazi alichofanyiwa. Ray C alianza kupost picha akiwa kwenye gari na kuadika; “NIKIWA […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani