Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makosa ya kiuandishi yanayoendelea magazetini

Bado magazeti yetu ya Kiswahili yanaendelea kuandika makala zenye makosa mbalimbali ya kisarufi, kitahajia na ya miundo mibovu ya sentensi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMU TV: MAGAZETINI LEO


CH 10 Baada ya kuteuliwa kupeperush bendera ya CCM , hii ndiyo siri nzito aliyoitoa. Tazama ilivyoandikwa na Magazeti ya Leo.https://youtu.be/uCYNsRLp2akSTAR TVWahariri wa Magazeti yote watekwa na habari za Magufuli, tazama walivyozipamba katika Magazeti yao Leo. https://youtu.be/7-Ckg0Smzr0

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

MAPITIO YA MAGAZETINI LEO


Ni Magufuli atangazwa rais awamu ya 5.Pata habari motomoto za kisiasa katika magazeti ya leo Octoba 30.2015;  https://youtu.be/8ZvvzkBbuz4


Utulivu warejea kisiwani Zanzibar.Waangalizi walia na ZEC wataka matokeo yatangazwe.Haki za binadamu wataka kuisaidia ZEC; https://youtu.be/BI16XOK4tAg


Lowasa apinga urais wa Dr.Magufuli, viongozi wa dini wamshauri Lowasa na UKAWA. Ndivyo magazeti yanavyoandika siku ya leo;  https://youtu.be/WLjkpl61hHc


Dr.Magufuli atinga ikulu. Watanzania wampa zawadi ya urais...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO

SIMU.TV: Rais Magufuli akabidhiwa ofisi rasmi, kufutwa uchaguzi Zanzibar kaa la moto. Bunge la 11 kuanza leo kwa usajili wa wabunge; SIMU.TV: Philip Marmo, Ndungai wazidisha joto uspika, CCM yazoa viti maalum 1,021 vya udiwani, wane waimamishwa kazi halmashauri ya Hai;  https://youtu.be/FxYZqMCAsGQ
SIMU.TV: Maduka ya dawa binafsi Muhimbili kufungwa, serikali kuanzisha maduka yake ndani ya hospitali zote za serikali; https://youtu.be/ZlfbjFp8bs8
SIMU.TV: Pata dondoo za habari za kina za kisiasa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Tujifunze Kiswahili kupitia magazetini

Ni vizuri tukaendelea kujifunza misingi ya lugha ya Kiswahili kwa kupitia makosa yaliyofanywa na waandishi mbalimbali hasa wa magazeti. Soma maelezo yafuatayo ili upate maarifa zaidi:“Waziri ahimiza kuzalisha wataalamu.”

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI

Mgombea ubunge Arumeru mbaroni, mamilioni wajitokeza kupiga kura, amani yatawala. Pata habari kutoka magazeti ya leo;  https://youtu.be/K3MJHg68bD4 Yanga yaja kidigitali, N’daw aishtua Simba, Aveva aamua kuchukua hatua. Ni katika magazeti ya michezo ya leo; https://youtu.be/OxKtrvo9SaM  Pata habari motomoto za kisiasa katika magazeti ya leo Jumatatu Octoba 25.2015 hapa Simu.tv; https://youtu.be/GwaPCQlaY7Y

 

9 years ago

Michuzi

HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 28,2015

Familia mbili zanusurika kifo Pemba. Vigogo zaidi wafyeka ubunge.Pitia dondoo za hahbari za magazeti hapa;Dr.Magufuli anusa harufu ya ikulu, Waangalizi wapongeza mchakato wa uchaguzi. Pata habari zaidi katika magazeti ya leo; https://youtu.be/DkLFy4SEpgYZEC yaagiza vyombo vya dola vimkamate Maalim Seif, UKAWA wasema hatukubali matokeo ya urais;  https://youtu.be/lBrQxhGgSY8
Vijana wa Lowasa wapandishwa kizimbani, matokeo urais Zanzibar yazidi kutolewa. Pata dondoo za magazeti ya leo;...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO


SIMU.TV:  Uzoefu, busara kumbeba Spika, wabunge wataja sifa nyingine, awe na ujuzi wa sheria. Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa;  https://youtu.be/ZLbwvEA0E-A SIMU.TV: Kasi ya Magufuli noma, waziri mkuu anatakiwa kuwa na sifa ya ufuatiliaji. Uwazi wa EWURA ulivyoleta unafuu wa bei ya mafuta; https://youtu.be/ZhWl1GQz1Gk SIMU.TV:  Lowassa, Maalim Seif wateta saa moja. Mtanzania atuhumiwa kuhifadhi maiti Brazil. Walimu washauriwa kufuata kasi ya rais;https://youtu.be/Y_KOeoty6BY SIMU.TV:...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015

Magufuli azidi kungara katika matokeo ya awali katika majimbo 13. Mawaziri waanguka majimboni. Yote haya utayapata katika magazeti; Mzee ‘sawasawa’ ajitangaza  mshindi Zanzibar, Polisi yakamata 169 kwa kuingilia tume. Pata dondoo za habari za magazetini;  https://youtu.be/mGoDo1XC_Ts
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti;  https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani