Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makosa ya madereva yawaingizia polisi bil.1.5/-

JESHI la Polisi limefanikiwa kukusanya kiasi cha Sh 1,502,340,000 mwaka 2013, kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo ya usalama barabarani, ukilinganisha na Sh 1,103,220,000 kwa mwaka 2012.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Polisi hawarekodi makosa ya jinai UK

Zaidi ya robo ya visa vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyoripotiwa havirekodiwi na Polisi nchini Uingereza, waangalizi wameeleza.

 

10 years ago

Michuzi

MAKOSA YA JINAI KIPAUMBELE NA JESHI LA POLISI

 Mkurugenzi  wa Upelelezi  wa  makosa  ya Jinai,(CP) Diwani  Athuman akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Wizara ya mambo ya Ndani juu ya Operesheni  usalama  imetokana na maamuzi  yaliyofikiwa kwenye mikutano ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kati ya Nchi za Kusini  mwa Afrika na Mashariki mwa Afrika  waliokutana  chini ya mwavuli wa (SARPCCO) na (EAPCCO) uliofanyika Johanesburg nchini  Afrika  Kusini.  Baadhi ya waandishi wa habari...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wakiri makosa Operesheni Tokomeza

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Isaya MunguluJESHI la Polisi, limekuwa la kwanza kati ya taasisi saba zinazohusika moja kwa moja, kukiri udhaifu katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyowaondoa mawaziri wanne katika nafasi zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makosa ya barabarani yaingizia Polisi mil. 307/-

JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, mkoani Iringa limekusanya sh mil. 307 kutokana na makosa 10,243 ya usalama barabarani katika kipindi cha kuanzia Januari mosi mwaka huu hadi Machi...

 

9 years ago

StarTV

Watu 18 washikiliwa na Polisi Morogoro  kwa Tuhuma Za Makosa Tofauti

Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu 18 kwa makosa tofauti  ambapo watu wanane wanashikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na silaha mbili aina ya Shot Gun zikiwa na Risasi 12 na wengine wanane wakijihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya pamoja na wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia wakiwa katika harakati za kuelekea nchini ya Afrika Kusini.

Kukamatwa kwa watuhumiwa hao kunatokana na jeshi la polisi mkoani humo kuendesha oparesheni maalum kwa kushilikiana na raia wema dhidi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wanasa Sh2 bil bandia

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata noti bandia zenye thamani ya Dola 164 milioni za Marekani, sawa na takriban Sh2 bilioni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi: Idris Sultan kupandishwa mahakamani kwa makosa ya mtandao kesho

Msemaji wa polisi nchini humo, David Misime ameiambia BBC kuwa upelelezi wa makosa ya kimtandao huchukua muda lakini wapo tayari kwa kesho kumpeleka mahakamani.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wabaini ilipo tanzanite ya bil.10/- iliyoibwa

MADINI ya tanzanite kilo 15 yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10 ya kampuni ya Tanzanite One yaliyoibwa hivi karibuni wilayani Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, yanadaiwa kufichwa eneo la Sakina na baadhi ya wauzaji wakubwa wa madini hayo.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani