Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malalamiko ya wakulima yashughulikiwe ipasavyo

Ijumaa ya wiki hii, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alitangaza kiama kwa mawakala wanaonunua mazao kwa wakulima, ambao kwa jina jepesi aliwaita ‘makanjanja.’

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAJI WAENDESHA MAHAKAMA YA WAZI KUSIKILIZA NA KUPOKEA MALALAMIKO YA WAKULIMA

Jaji Mh. Richard Mziray Akitoa Hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamisemi tekelezeni sheria ipasavyo

UTEKELEZAJI wa sheria ni suala linalopaswa  kufanywa pasipo kuacha chembe ya shaka juu ya sheria husika. Pia  sheria inapaswa kumgusa mdogo na mkubwa katika jamii kwa ajili ya kuleta heshima...

 

10 years ago

Michuzi

SIMAMIENI IPASAVYO MIUNDOMBINU YA MAJI: MH. MWANRI

Na Saidi Mkabakuli – Ruvuma
Serikali imetoa wito kwa taasisi za umma kusimamia kwa umakini miundombinu ya miradi ya maji pindi inapokamilika ili kuweza kuwapatia wananchi huduma ya maji ya uhakika mara miradi hiyo inapokabidhiwa kwa kamati za usimamizi wa maji.
Wito huo umetolewa na kiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya maji ya utekelezaji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kweleakwelea ni janga, inafaa washughulikiwe ipasavyo

Gazeti hili jana liliandika kuwa ndege aina ya kweleakwelea wamevamia mikoa ya Morogoro na Dodoma na kuharibu maelfu ya ekari za mazao.

 

11 years ago

Mwananchi

Je, tumewekeza ipasavyo katika elimu ya awali?

Rasimu ya Sera ya Elimu inaweka bayana kuwa moja ya malengo ya elimu ya awali, ni kuhimiza na kukuza maendeleo yanayojumuisha ukuaji, haiba na uwezo wa mtoto kimwili, kiakili, kimaadili, kiroho na kumwandaa mtoto kwa ajili ya elimu ya msingi.

 

11 years ago

Habarileo

‘Tumieni ipasavyo fursa za madini, gesi, mafuta’

WATANZANIA wametakiwa kubadilika kifikra kwa kutumia ipasavyo fursa zilizopo katika tasnia ya madini, mafuta na gesi ili kujiletea maendeleo na kakabiliana na changamoto zake. Wito huo umetolewa na Mshauri Mwandamizi wa Kanda wa Masuala ya Mapato wa Taasisi ya Revenue Watch (RWI), Silas Ola'g .

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Vipindi vya michezo vitumike ipasavyo

>Mashindano ya Umoja wa Michezo kwa Shule za Sekondari (Umisseta) yanaendelea katika Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani na mashindano ya shule za msingi taifa (Umitashumta) yakianza leo.

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe aagiza maadili ya kitanzania yasimamiwe ipasavyo

Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Same
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Bodi ya Filamu pamoja na Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wafanye kazi yao ya kisheria ya kulinda maadili ya jamii ya Kitanzania ili taifa liendelee kufuata misingi imarya utamaduni na sanaa iliyoasisiwa na viongozi wetu.
Dkt. Mwakyembe ametoa agizo hilo wakati wa mashindano ya Bonanza ya kuibua vipaji vya uimbaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani