Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamisemi tekelezeni sheria ipasavyo

UTEKELEZAJI wa sheria ni suala linalopaswa  kufanywa pasipo kuacha chembe ya shaka juu ya sheria husika. Pia  sheria inapaswa kumgusa mdogo na mkubwa katika jamii kwa ajili ya kuleta heshima...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAHIMIZWA KUSIMAMIA USAFI IPASAVYO -KATIBU MKUU TAMISEMI

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiSERIKALI imewaagiza watendaji wa Halmashauri zote za jijini Dar es Salaam kusimamia ipasavyo suala la usafi katika maeneo mbalimbali ili kusadia kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu.
Katika agizo hilo la Serikali ametoa  wiki mbili kwa watendaji wote kuhakikisha wanaliweka jiji katika hali ya usafi na endapo halitatekelezwa hatua zitachukuliwa dhidi yao.
Akizungumza na watendaji wa Serikali leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za...

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Jumanne Sagini wakati akizungumza na watendaji mbalimbali wa ofisi hiyo leo katika mkutano wa kikazi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Karimjee jijini Dares Salaam , ambapo lengo kuu lilikuwa ni kutoa maelekezo ya utendaji kazi kama ilivyoagizwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Afya -TAMISEMI ,Dkt .Deo Mutasiwa .Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Watendaji CCM tekelezeni Ilani

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana, amewaasa viongozi na watendaji wa chama hicho kutekeleza ilani kwa kuwa chama hicho hakiko tayari kupoteza imani kwa wananchi hasa katika kipindi kijacho cha uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

 

11 years ago

Dewji Blog

Tekelezeni mawazo na maagizo ya baraza la wawakilishi kikamilifu- Balozi seif

028

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi wa mwanzo kulia Mh. Saleh Nassor Juma akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed wakijipatia mlo kwenye dhifa maalum iliyoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini.

Na Othman Khami Ame, Visiwani

WATENDAJI wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wana...

 

11 years ago

Mwananchi

Malalamiko ya wakulima yashughulikiwe ipasavyo

Ijumaa ya wiki hii, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alitangaza kiama kwa mawakala wanaonunua mazao kwa wakulima, ambao kwa jina jepesi aliwaita ‘makanjanja.’

 

11 years ago

Mwananchi

Kweleakwelea ni janga, inafaa washughulikiwe ipasavyo

Gazeti hili jana liliandika kuwa ndege aina ya kweleakwelea wamevamia mikoa ya Morogoro na Dodoma na kuharibu maelfu ya ekari za mazao.

 

10 years ago

Michuzi

SIMAMIENI IPASAVYO MIUNDOMBINU YA MAJI: MH. MWANRI

Na Saidi Mkabakuli – Ruvuma
Serikali imetoa wito kwa taasisi za umma kusimamia kwa umakini miundombinu ya miradi ya maji pindi inapokamilika ili kuweza kuwapatia wananchi huduma ya maji ya uhakika mara miradi hiyo inapokabidhiwa kwa kamati za usimamizi wa maji.
Wito huo umetolewa na kiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya maji ya utekelezaji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Je, tumewekeza ipasavyo katika elimu ya awali?

Rasimu ya Sera ya Elimu inaweka bayana kuwa moja ya malengo ya elimu ya awali, ni kuhimiza na kukuza maendeleo yanayojumuisha ukuaji, haiba na uwezo wa mtoto kimwili, kiakili, kimaadili, kiroho na kumwandaa mtoto kwa ajili ya elimu ya msingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani