MALAWI YAWASILI NCHINI TAYARI KWA MTANANGE DHIDI YA STARS, KIINGILIO NI BUKU 5 TU !

Timu ya Taifa ya Malawi (Flames) imewasili jijini Mbeya tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili (Mei 4 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine.
Flames ikiwa na msafara wa watu 31 imewasili jana (Mei 1 mwaka huu) saa 1 jioni kwa njia ya barabara, na imefikia hoteli ya Manyanya. Nayo Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ipo jijini Mbeya tangu Aprili 27 mwaka huu kujiandaa kwa mechi hiyo.
Kiingilio katika mechi hiyo kitakuwa sh....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
KIINGILIO TAIFA STARS, MALAWI NI BUKU 5 TU.

Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni kwa wale watakaokaa kwenye viti vya rangi ya chungwa, bluu na kijani. Kwa upande wa VIP B na C kiingilio kitakuwa sh. 10,000 wakati kwa VIP A itakuwa ni sh. 20,000.
Mechi hiyo itaanza saa 11 kamili jioni ili kutoa fursa kwa washabiki wengi zaidi kuishuhudia kwa vile...
9 years ago
Michuzi
TAIFA STARS KUREJEA NCHINI LEO, YATARI KWA MTANANGE DHIDI YA MBWEHA WA JANGWANI JUMAMOSI HII

Stars iliyokuwa imeweka kambi nchini Afrika Kusini kwa takribani siku 10, inarejea nyumbani ikiwa imefanya mazoezi vizuri kujiandaa na kuwakabili Mbweha wa Jangwani Algeria siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongelea kuhusu kambi kocha wa...
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Kiingilio cha Stars, Malawi ni Sh 5,000
10 years ago
VijimamboTAIFA STARS YAWASILI ZANZIBAR TAYARI KUWAKABILI WAGANDA JUMAMOSI
10 years ago
MichuziSTARS YAWASILI, KOCHA AAHIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MCHEZO WAO DHIDI YA ALGERIA
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Kiingilio ‘Kamata Pindo la Yesu’ buku 5
WADHAMINI wa uzinduzi wa video ya albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’, Kampuni ya Msama Promotions, wametangaza kiingilio cha kushuhudia uzinduzi huo utakaofanyika Agosti 3, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee,...
10 years ago
Vijimambo
NUSU FAINALI KAGAME KIINGILIO BUKU TATU TU

Viingilio vingine vya michezo hiyo ya kesho ni VIP A ni shilingi elfu kuni na tano (15,000) na VIP B & C, Shilingi elfu kumi (10,000) na sehemu nyingine ya uwanja iliyobakia ni shilingi elfu tatu (3,000) kwa viti vya rangi ya bluu, kijani na rangi ya chungwa....
11 years ago
Michuzi15 Oct
KIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA BUKU SABA
Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000.
Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo ni za...
10 years ago
Michuzi
TAIFA STARS TAYARI KUWAKABILI MALAWI KESHO CCM KIRUMBA

Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa bei za sh. 5,000 kwa mzunguko, sh. 12,000 kwa jukwaa kuu na sh.20,000 kwa viti vya jukwaa kuu maalum. Taifa Stars inashika nafasi ya 100 katika...