Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi, Lowassa wakutana

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema shirikisho lake limepanga malengo ya muda mfupi na mrefu ili kuinua kiwango cha mchezo huo nchini. Malinzi amesema hayo jana alipomtembelea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Maalim Seif na Lowassa wakutana Dar

SEIF NA LOWASSANa Elias Msuya

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chadema, Edward Lowassa, jijini Dar es Salaam jana na kusisitiza kuwa CUF haitarudia uchaguzi uliofutwa visiwani humo.Edward Lowassa

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya mkutano huo wa ndani, Maalim Seif alisema uchaguzi huo ulifutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salum Jecha binafsi.

“Msimamo...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA MH. LOWASSA WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Jana, jijini Dar es salaam. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa katika Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamari yamtisha Malinzi

KASI ya kamari katika soka nchini maarufu kama ‘betting’, imeanza kumtisha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akihofia kuuvuruga mchezo huo kama hatua hazitachukuliwa. Malinzi aliyeukwaa urais...

 

10 years ago

BBCSwahili

Malinzi aipongeza Yanga

Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Yusuf Manji kufuatia timu yake kutwaa Ubingwa .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Malinzi maji ya shingo

BODI ya Ligi Kuu Tanzania kwa kushirikiana na Klabu 14 za ligi hiyo, zimetishia kusaka theluthi mbili ya saini za Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),...

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi ajitambulisha CAF

Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeahidi kumpa ushirikiano Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi katika kipindi chote cha uongozi utawala wake.

 

9 years ago

Habarileo

Malinzi: Wachezaji wa FA wamebahatika

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema wachezaji wa timu zinazoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) wamebahatika kwani wamepata njia ya kujiuza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani