MAMA AISHA BILAL MGENI RASMI WOMENS CELEBRATION MACHI 8, 2014
MKE WA MAKAMU WA RAIS MAMA AISHA BILAL ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHUGHULI YA #WOMENSCELEBRATION ITAKAYOFANYIKA MARCH 8 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND VIP HALL. SAMBAMBA NAE ANAONGOZANA NA KIKUNDI CHA WAKE WA VIONGOZI CHA MILLENIUM WOMEN GROUP. WOMENS CELEBRATION INAYOANDALIWA NA KWA MARA YA TATU MWAKA HUU N BLOG YA 8020 FASHIONS ITAHUDHURIWA NA WANAWAKE KUTOKA KADA MBALIMBALI JIJINI NA MADA KUU YA MWAKA HUU NI KUKOMESHA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE AMBAPO TUNAWEZA KAMPENI YA OXFAM NDIO...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOANDALIWA NA 8020 Fashions
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...
10 years ago
Habarileo08 Apr
Bilal mgeni rasmi harambee ya yatima
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Billal (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima cha New hope Family.
11 years ago
GPLMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO
11 years ago
Uhuru Newspaper.jpg)
Dk Bilal mgeni rasmi tamasha la MOWE leo
NA EMMANUEL MOHAMED
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la wanawake wajasiriamali mali (MOWE), litakalofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.
.jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Helihaka Mrema, alisema tamasha hilo lina lengo la kuwakutanisha wajasiriamali hao na wadau mbalimbali ili kuboresha ubora wa bidhaa zao kwa lengo la kukidhi haja ya masoko ya ndani na nje.
Helihaka alisema tamasha...
10 years ago
StarTV30 Dec
Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.
Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...
10 years ago
Habarileo24 Sep
Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Bilal mgeni rasmi tuzo kwa kampuni bora
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora kwa mwaka 2014.