Mama Salma azindua mwongozo mpya wa Ukimwi
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amezindua rasmi mwongozo mpya wa Kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT option B+) katika Mkoa wa Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3DH7-jw7WQ8/UxteHrPrJZI/AAAAAAAFSE4/ZwrL-cm0tls/s72-c/unnamed+(15).jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-3DH7-jw7WQ8/UxteHrPrJZI/AAAAAAAFSE4/ZwrL-cm0tls/s1600/unnamed+(15).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dqMn38Ux1gQ/UxteOODFUfI/AAAAAAAFSF8/1vTWZir4bcA/s1600/unnamed+(16).jpg)
11 years ago
GPLMAMA SALMA KIKWETE AZINDUA UWAMBA DAR LIVE LEO
Mama Salma Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa vikundi Mbagala (UWAMBA) katika Ukumbi wa Dar Live leo. Wanawake wa Mbagala wakimsikiliza kwa makini Mama…
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tWB7sjNaofE/U0VIj762stI/AAAAAAAFZdQ/sH5EIE5uvhg/s72-c/unnamed+(31).jpg)
mama salma kikwete azindua chama cha umoja wa wanawake wa mbagala
![](http://2.bp.blogspot.com/-tWB7sjNaofE/U0VIj762stI/AAAAAAAFZdQ/sH5EIE5uvhg/s1600/unnamed+(31).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1IfRW2mFTN0/U0VIkghLSXI/AAAAAAAFZdY/5AfztZ0mCaI/s1600/unnamed+(32).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-f28F4JQUn2k/U0VIlPl5HKI/AAAAAAAFZdw/hX-7me2ow1k/s1600/unnamed+(33).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-okr94jFGWYk/U18k1uXahpI/AAAAAAAADCU/4dOxZ2VnI0U/s72-c/Picture+101.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA WIKI YA CHANJO DUNIANI MKOANI KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-okr94jFGWYk/U18k1uXahpI/AAAAAAAADCU/4dOxZ2VnI0U/s1600/Picture+101.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bQ4pprYsFio/U18k27vqiVI/AAAAAAAADCY/KVZeHWWuEcc/s1600/Picture+107.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OpCKsp7YSHY/U18k39XVLZI/AAAAAAAADCk/tIYekstW4GM/s1600/Picture+122.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/---6koVBb6Ag/Vg78xaND9zI/AAAAAAAH8c4/KvPaO1HsDDw/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI J.K.NYERERE HUKO TARIME
.
Mama Salma Kikwete akitoa hotua ya uzinduzi rasmi wa Shule ya Sekondari ya J.K.Nyerere katika Kijiji cha Myamwaga kilichoko Mkoani Mara.
Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga.
Mama Salma Kikwete baada ya kukata utepe hapa anakiondoa kitambaa kukamilisha sherehe ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo.
Mke wa...
![](http://3.bp.blogspot.com/---6koVBb6Ag/Vg78xaND9zI/AAAAAAAH8c4/KvPaO1HsDDw/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-DdJSTSuSKeg/Vg78xhxmfxI/AAAAAAAH8cg/Z7ffErWJ-sw/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_yM28meTy_A/Vg78xw-9gFI/AAAAAAAH8c0/7bLFy2AcauI/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WXE_J_dT464/Vg78yKXLKjI/AAAAAAAH8cw/PvNZRWXi6cw/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
11 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AZINDUA TAARIFA YA 'THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE' YA VODAFONE FOUNDATION
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_otPAJgKXNY/VX9TGr9-pxI/AAAAAAAHf1M/Y0GVdwXCzVg/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana - Mama Salma Kikwete
Asilimia 73 ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yanayotokea miongoni mwa vijana Barani Afrika huwapata wasichana huku asilimia 15 ya vijana wote ndiyo wanaotambua hadhi yao ya VVU na hivyo kusababisha tatizo hilo kuendelea kuwa kubwa.Hayo yamesemwa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa 15 wa Umoja wa wake wa Marais wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi (OAFLA) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo Sandton Convention Centre mjini...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania