Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mamba amuua mvuvi Mto Lwika

MASALIA ya mwili wa Charles Mkoma (37), mwanakijiji wa Liuli, wilayani Nyasa, Ruvuma yamekutwa kandokando ya Mto Lwika. Mkoma, aliuawa baada ya kukamatwa na mamba wakati alipokwenda kuvua samaki kwenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)


Kutoka Daraja la Wami, zimetokea ajali mbili tofauti ambazo hazijapishana sana, moja ni ya Lori ambalo lilifeli breki na kutumbukia Mtoni na bado halijatolewa huku ikiaminika kuwa Dereva bado yupo ndani ya Lori hilo chini ya maji tangu Ijumaa June 05, 2020 ajali ilipotokea, wenzake wawili tayari wameokolewa .Wakati Watu wakiwa wamejaa kushuhudia ajali hiyo ghafla Lori jingine pia likafeli breki na kuua Watu wawili (Mama na Mtoto) kisha kuyazoa magari zaidi ya sita ambayo yote yameharibika...

 

5 years ago

CCM Blog

DC APSON AMJULIA HALI MVUVI ALIYENG'ATWA MKONO NA MAMBA, AAHIDI KUMUANZISHIA BIASHARA, KUSIMAMIA MATIBABU

 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Tom Apson (kushoto), akiwa Hospitali ya Usangi kumjulia hali majeruhi aliyeshambuliwa na mamba katika Ziwa Jipe wakati akivua samaki. Mvuvi huyo amekatwa na mamba nusu ya mkono wake wa kushoto. 

Baada ya hapo, DC Apson aliamua kwenda nyumbani kwa majeruhi  kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki. Pia alijumuika na viongozi wa kijiji na kata ya Kigonigoni.


"Hata hivyo kama Kiongozi Mkuu wa Serikali wilayani Mwanga nimeamua tutasimamia...

 

10 years ago

Bongo Movies

CHALE MVUVI:Baba Haji ni Kiboko-Shamsa Ford

Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2014, tegemea kazi nzuri mwaka ujao (2015) kutoka kwa  wakali hawa kwenye tasnia ya filamu  hapa nchini, hawa sio wengine bali ni waigizaji  Shamsa ford na Haji Adam  “baba Haji”. Kazi hiyo itakwenda kwajina la  Chale Mvuvi ,inayofanyika chini ya kampuni ya Jerusalem Film Company.

Mwigizaji Shamsa Ford, katika kuizungumzia kazi hii, kwa mameno mafupi alisema “hatariii baba haji  ni kiboko”

Bado haijatamkwa kazi hii itatoka lini,tuendelee kuisubiri...

 

9 years ago

StarTV

  Afisa Wanyamapori, mvuvi Singida jela miaka 40 Kumiliki Nyara Za Serikali

 

Afisa Wanyamapori na mvuvi mmoja wa mkoani Singida wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 40 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki nyara za Serikali zenye thamani shilingi milioni 4.3.

Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya Wilaya ya Singida dhidi ya washitakiwa Afisa Wanyamapori katika halmashauri ya Wilaya ya Singida Augustino Lori (44) na mvuvi Hamza Mbella (40).

Awali mwendesha mashitaka mwanasheria wa Serikali Neema Mwapiana alidai kuwa washitakiwa kwa pamoja...

 

10 years ago

GPL

MVUVI KATIKA KISIWA CHA YOZU WILAYA YA SENGEREMA AIBUKA NA TOYOTA IST

Kaimu Meneja Mauzo Kanda ya Ziwa wa Airtel Bwana David Wankuru akimkabithi gari aina ya Toyota IST bwana Kijiji Gweso ambaye ni Mvuvi na mkazi wa wilaya ya Sengerema Mwanza mara baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi akishuhudia ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde . Mshindi wa gari kupitia promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Bwana Kijiji… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jerusalem Films Kuja na Chale Mvuvi Baada ya Mzee wa Swaga, Hadji Adam, Shamsa Ford na Wakali Wengine wa Zanzibari Ndani!!

Mkurugezi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Films, Jacob Stephen ‘JB’ambae pia ni muigizaji na muongozaji wa filamu, amewaeleza mashabiki wake kuwa wakae mkao wa kula kwani baada ya wiki iliyopita kuingiza movie ya Mzee wa Swaga sokoni, sasa hivi wapo katika maandalizi ya kutoa movie nyingine  mwezi ujao.

"Asanteni sana wadau wa Jerusalem films kwa kuipokea vyema Mzee wa Swaga. sasa tunajiandaa kuwaletea movie nyingine inaitwa CHARLE MVUVI : Waigizaji:Hadji Adam,Shamsa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mamba ala mwanafunzi

MWANAFUNZI wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Ugalla, Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi,  Yohana Ramadhani (14), ameliwa na Mamba wakati akioga na wenzake katika mto Ugalla. Kwa mujibu wa Diwani...

 

11 years ago

Mwananchi

Jasiri wa kulishana na mamba

Jamaa mmoja huko Afrika Kusini alishangaza watalii aliokuwa anawatembeza kwenye hifadhi ya wanyama baada ya kuonyesha umahiri wake katika kucheza na mamba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wabunge msilie machozi ya Mamba

KITENDO  cha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuamua kusimama kidete na kuonyesha ushupavu na nguvu za kuikalia kooni serikali kuhusu kashfa ya Escrow kusifanane na machozi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani