Maofisa wa kuwasili nchini kesho
Maofisa wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) wanawasili nchini kesho (Agosti 10 mwaka huu) kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini.
Ujumbe huo wa FIFA utakaokuwa na maofisa sita, baada ya ziara yake utashauri jinsi ya kuboresha uendeshaji huo katika kikao cha pamoja kati yake na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitakachofanyika mwishoni mwa wiki ijayo.
BONIFACE WAMBURAOFISA HABARI NA MAWASILIANO
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FBSE_I_ls3E/VM4VhP0EA7I/AAAAAAAHApk/-TVwqfoT67o/s72-c/Official-portrait-Federal-President-Gauck.jpg)
Rais wa Ujerumani, Mhe. Joachim Gauck kuwasili nchini kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-FBSE_I_ls3E/VM4VhP0EA7I/AAAAAAAHApk/-TVwqfoT67o/s1600/Official-portrait-Federal-President-Gauck.jpg)
Mhe. Rais Gauck atapokelewa rasmi na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Februari, 2015 na atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21. Wananchi wanaombwa kuwa watulivu wakati mizinga hii ikipigwa kwani ni salama.
Baada ya mapokezi hayo,...
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Mwili wa Dk Kigoda kuwasili kesho
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Timu ya Algeria kuwasili kesho
11 years ago
Habarileo03 Jan
Mwili wa Dk Mgimwa kuwasili kesho mchana
MWILI wa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa unatarajiwa kuwasili nchini kesho mchana kwa ndege ya Afrika Kusini.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VnOk3hzpLcU/VUYymMOFQXI/AAAAAAAHVAo/cqfCnXUjx2Y/s72-c/20150503073519.jpg)
NEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-VnOk3hzpLcU/VUYymMOFQXI/AAAAAAAHVAo/cqfCnXUjx2Y/s1600/20150503073519.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-E5fQ5YM7DN8/ViIP3yhiwkI/AAAAAAAIAhg/gzUTyq1s5t8/s72-c/New%2BPicture.bmp)
WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUWASILI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-E5fQ5YM7DN8/ViIP3yhiwkI/AAAAAAAIAhg/gzUTyq1s5t8/s1600/New%2BPicture.bmp)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKUNDI la waangalizi wa uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, wanatarajia kuwasili Dar es Salaam Jumapili, tarehe 18 October 2015 tayari kwa uangalizi wa uchaguzi kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.
Kuwasili kwa kundi la Jumuiya ya Afrika Mashariki lenye takribani watu hamsini na tano, ni kuitikia mwaliko kutoka kwa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU
Majonzi makubwa lufuatia taarifa za msiba jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.
Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge kupitia ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...
9 years ago
Habarileo18 Oct
Waangalizi wa EU kuwasili nchini leo
WAANGALIZI wa muda mfupi 60 kutoka Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU-EOM) watawasili Dar es Salaam leo ili kuangalia uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.