MAONI: Ligi Kuu ya wanawake itaisaidia Twiga Stars
>Ndoto za Twiga Stars kujiweka katika sehemu nzuri ya kujihakikishia nafasi ya kufuzu kushiriki Fainali za Afrika kwa wanawake huko Namibia zilitoweka juzi jijini Dar es Salaam baada ya kukubali kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mechi ya marudiano ya raundi ya kwanza na Zambia ‘Shepolopolo’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Twiga Stars imeonyesha wanawake Tanzania wanaweza
10 years ago
Mwananchi23 Feb
MAONI: TFF iachane na Ligi Kuu, ijikite kuendeleza soka
10 years ago
Mwananchi16 Feb
MAONI: Panga pangua ya ratiba Ligi Kuu ni aibu kwa TFF
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s640/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-goCfa6KsvIs/Vek3Qilfi5I/AAAAAAAH2RM/SAuGOh-elQ0/s640/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Nyota Ligi Kuu England kuivaa Stars
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
9 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...