Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPENZI KATIKA SURA PANA YA NYAKATI

UNAPOANZA safari ya mapenzi, shika muongozo huu na uuamini. Amini katika mapenzi siku zote. Siyo tu yenyewe kama maneno, bali mapenzi katika maana na mzani wake sahihi. Amini kuwa zipo nyakati ngumu kwenye safari yako lakini simamia ushindi wako. Ni lazima uyashinde mapenzi, yaani uvuke salama kwenye nyakati ngumu. Iwe kwa utengano au kuvuka pamoja, unachopaswa kuangalia ni kipi salama kwako. Kuvuka salama ni turufu ya kwanza,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAPENZI KATIKA SURA PANA YA NYAKATI NGUMU-2

Tupo kwenye mada yetu, somo hapo ni mapenzi katika maana pana ya nyakati ngumu. Kimsingi hizi zipo na huwezi kuishi siku zote za maisha yako bila kukabiliana nazo. Noa kichwa na ujiweke mkao wa kushinda. Changamoto zisikudondoshe, unatakiwa kuzishinda kwa tabasamu. Unapoingia katika nyakati ngumu siyo kila mtu unaweza kumweleza matatizo yako. Bora usimwambie yeyote. Jitahidi kulala na kuamka ukitafakari, pengine ukapata ufumbuzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mambo ya kifedha yanayofaa kuzingatiwa katika nyakati ngumu za kiuchumi

Wataalamu wa masuala ya fedha wanashauri masuala kadhaa ili kudhibiti matumizi ya fedha wakati huu wa changamoto ya kiuchumi

 

10 years ago

BBCSwahili

Sura ya mwanamke kuwa katika noti mpya

Marekani imepanga kuchapa noti mpya ya dola kumi yenye picha ya mwanamke ambaye atapendekezwa na Wamarekani

 

10 years ago

StarTV

Sura ya mwanamke kuwa katika noti mpya Marekani.


Benki Kuu ya Marekani

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya karne moja, noti mpya ya dola kumi nchini Marekani itakuwa na picha na mwanamke.

Wizara ya Fedha ya Marekani imewataka wananchi wa Marekani kutoa mawazo yao ni picha ya mwanamke gani ichapishwe kwenye noti hiyo.

Wizara hiyo imesema inatafuta kile kinachoelezwa kuwa demokrasia shirikishi.

Kwa sasa noti za Benki Kuu ya Marekani zilizo katika mzunguko wa fedha zinawaonyesha viongozi wa zamani wa kisiasa—-wote wakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Sanaa bado pana, acheni kubanana

>Siku za karibuni, hasa baada ya kugundulika kwa hii mitandao ya kijamii, kumekuwa na imani kubwa kwamba vijana wanaweza kutengeneza pesa nyingi kiurahisi kwa kutumia sanaa ya uigizaji na muziki na hata uanamitindo, baada ya kuwa maarufu na kukubalika na jamii husika.

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

11 years ago

GPL

UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI-4

Wiki iliyopita niliishia pale mama Shebby akiwa nyumbani kwake saa 3:24 aliposhika simu yake akakuta SMS mbili zilizotoka kwa Pascal waliyekutana supermarket, akamnunulia deodorat  mbili. Moja ya SMS hiyo ilimuuliza kama alilala na ya mwisho alimfahamisha deodorat aliyomchangulia mkewe aliipenda. Unajua kiliendelea nini? Ungana nami... “Haraka sana nilimjibu kwa kumwandikia SMS mbili, ya kwanza nilimjulisha sijalala,...

 

11 years ago

GPL

UCHAWI WA ‘SHUKRANI’ KATIKA MAPENZI-5

MAMA Shebby anakutana na mwanaume anayeitwa Pascal na kumuona ni bora kuliko mumewe, anasimulia: “Pascal aliniandikia SMS akizidi kumsifia mume wangu kwamba ananijali, akasema wanaume wengi hawawapi wake zao magari. Sijui kwa nini maneno hayo hayakunizindua na kunifanya niheshimu mchango wa mume wangu katika maisha yangu.“Katika nyakati ambazo huwa nakiri kuwa Shetani ana nguvu sana ni hapa, kwani niliendelea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kijana auawa katika mzozo wa mapenzi Kenya

Polisi mjini Nairobi, Kenya wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu kumdunga kisu mwanafunzi mwenzake kufuatia mzozo wa mapenzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani