MAPENZI YA RONALDO NA ALESSIE YANOGA
![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvRa661My-ngcrKRYrqIOPNHPnL4j9VnYSRiw520*S3nW9hNW6sUR3ktHgVT4EVIAzAdISKmFRJd832BrdcM8Nzs/CristianoRonaldoHERO853x1024.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Real Madrid ,Cristiano Ronaldo. Madrid, Hispania KUMEKUWA na taarifa kuwa mshambuliaji wa Real Madrid ,Cristiano Ronaldo, ambaye hivi karibuni amevunja rekodi yake mwenye kwa kufunga mabao 61 kwenye La Liga, anatoka na Mwigizaji na Mwanamitindo Alessia Tedeschi. Mwigizaji na Mwanamitindo Alessia Tedeschi. Ronaldo hivi karibuni aliachana na aliyekuwa mpenzi wake Irina Shayk lakini bado hajafunguka hadharani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Mar
LIGI YA MABINGWA:Vita ya Messi, Ronaldo yanoga
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Mapenzi yanoga licha ya kipigo Brazil
9 years ago
Bongo522 Oct
Cristiano Ronaldo aonesha mapenzi kwa shabiki aliyevamia uwanjani na kumkumbatia
10 years ago
Mwananchi07 Mar
Staili ya Chenge escrow yanoga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uScv0dW2nt5NvRlvSoDp3NCfGVIx3l2bf074HQ748UB-NaXs7yiNkQ7OrUl*Km7dCCak4y7wta0pBCdvpsf8N3nqf/DIAMOND.jpg)
DIAMOND, ZARI PROJEKTI YANOGA!
10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
10 years ago
Vijimambo08 Dec
TICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR
11 years ago
MichuziCastle Lager Perfect Six yanoga kuelekea fainali za Kanda
Katika michezo ya hatua ya mchujo ikirishikisha timu nane za mikoa hiyo, kwa upande wa Morogoro timu za Mzinga FC na Ndezi FC zenyewe zilikata mapema tiketi ya kucheza ligi hiyo huku kwa Dodoma ikiwa ni Schalke 04 FC pamoja na Market FC.
Schalke 04 na Market FC zilikata tiketi juzi kwa kushika nafasi ya kwanza na pili katika...
10 years ago
GPLTICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR