Mapigano yaanza tena Nigeria
Mashariki mwa Nigeria zaidi ya watu ishirini wameuawa katika mapigano kati ya wanajeshi na wanamgambo wa kundi la Boko Haram.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 May
Mapigano makali yaanza tena Sudan Kusini
11 years ago
BBCSwahili10 Aug
Mapigano yasitishwa tena Ukanda wa Gaza
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Mashambulizi yaanza tena Yemen
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Israel yaanza kushambilia Gaza tena
9 years ago
StarTV22 Dec
Bandari ya Bukoba yaanza tena shughuli zake.
Manispaa ya Bukoba imeiruhusu bandari ya Bukoba kuendelea na shughuli za kawaida kufuatia hatua ya uongozi wa Bandari hiyo kukamilisha ujenzi wa choo cha kisasa,tofauti na kile chaawali ambacho kilidaiwa na uongozi wa Manispaa hiyo kutiririsha maji taka kuelekea Ziwani na kusababisha Bandari hiyo kufungiwa kipindi cha takribani mwezi mmoja .
Meli ya Mv Serengeti ambayo kwa muda wote ilikuwa ikiitumia bandari ya Kemondo iliyopo kilometa saba kutoka mjini Bukoba, imeshuhudiwa ikitia nanga...
10 years ago
Michuzi11 May
KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Vijiji vyashambuliwa tena Nigeria
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Stephen Keshi kuongoza tena Nigeria
10 years ago
Mwananchi04 May
Buhari wa Nigeria atawacharaza tena bakora wakorofi?