MAREKANI WADAIWA KUWATUMIA KUVUMBUA TEKNOLOJIA MPYA - 3
![](http://api.ning.com:80/files/KkxqEnBJGWCkzSrRN3z2shcwiFvE8THLzNfH3ZH7BNMtddptYf*AKRcw8dFB6W86I9ME4K5CuSJLoMtEu7AdKCZ4*WvTpPpx/aliensET.jpg?width=650)
Nakumbusha kuwa katika uumbaji Mungu, aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Wiki kadhaa niliona ni vyema tukajifunza vitu nje ya boksi. Ni juu ya uwepo wa viumbe wa ajabu waishio angani waitwao Aliens. Kwa muda mrefu viumbe hawa wamekuwa wakihusishwa na upotevu wa vitu na watu duniani. Wiki iliyopita tuliishia pale tulipokuwa tunaangalia ukweli juu ya madai ya kuwepo kwa uhusiano kati ya wanasayansi wa Kimarekani na hawa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI NA KUHAKIKI NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI KWA TEKNOLOJIA MPYA YA KYC KUPITIA SMARTPHONE LEO JIJINI DAR.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zT6cYLMqHtE/VWBZnRFG5TI/AAAAAAAABRU/-aZL4SApwrU/s72-c/11159883_10152886715134786_8673404612961135280_o-2.jpg)
TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YATEMBELEWA NA MWANADIASPORA KUTOKA NCHINI MAREKANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-zT6cYLMqHtE/VWBZnRFG5TI/AAAAAAAABRU/-aZL4SApwrU/s640/11159883_10152886715134786_8673404612961135280_o-2.jpg)
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Wachina waleta teknolojia mpya
10 years ago
Mwananchi03 Feb
‘Serikali isaidie teknolojia mpya’
10 years ago
StarTV19 Jan
Wahalifu wadaiwa kubuni mbinu mpya kila kukicha.
Na Zacharia Mtigandi,
Manyara.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Kaskazini imesema uhalifu unaosababishwa na mitandao unazidi kuongezeka kutokana na mbinu mbalimbali mpya zinazoibuliwa na wahalifu wanaotumia mitandao hiyo.
Uhalifu wa kimitandao unaoongezeka kwa kasi ni wa kuiba fedha na kusambaza picha chafu za utupu.
Utafiti kutoka TCRA Unaonyesha kuwa Upotevu wa fedha kwa njia ya mitandao ni kwa asilimia 16, kutuma ujumbe yaani sms sisizohitajika ni kwa asilimia 21 na watoa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s72-c/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
TAASISI ZATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA MPYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s640/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8ebaee4a-4a26-4205-9f49-225a657234c1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/d3e63701-da56-4458-b21f-e05d93670709.jpg)
10 years ago
Habarileo19 Oct
Wakulima 2,379 wanufaika na teknolojia mpya
WAKULIMA 2,379 kutoka wilaya tano hapa nchini wamenufaika na elimu ya teknolojia mpya ya matumizi ya mbegu mpya za mahindi na mbaazi pamoja na kulima kwa kutumia kilimo mseto na kilimo hifadhi.
10 years ago
Habarileo30 Sep
Teknolojia mpya ujenzi wa ghorofa yaja
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) una mpango wa kutumia teknolojia mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa siku moja lengo likiwa ni kuisaidia Serikali katika kupunguza uhitaji wa nyumba pamoja na kupunguza gharama za ujenzi.
10 years ago
Habarileo25 Apr
Teknolojia mpya 4G LTE yaingia Jijini
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali inashirikiana na sekta binafsi, ikiwa ni pamoja na kampuni za simu za mkononi kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama).