Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima 2,379 wanufaika na teknolojia mpya

WAKULIMA 2,379 kutoka wilaya tano hapa nchini wamenufaika na elimu ya teknolojia mpya ya matumizi ya mbegu mpya za mahindi na mbaazi pamoja na kulima kwa kutumia kilimo mseto na kilimo hifadhi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wakulima 9,000 wanufaika na elimu ya kilimo

WAKULIMA zaidi ya 9,000 kutoka wilaya mbalimbali mkoani Arusha, wamenufaika na elimu ya kuboresha kilimo na kuongezea thamani mazao yao na hatimaye kuwezesha kulima kilimo chenye tija na kuweza kupata masoko ndani na nje ya nchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wa kanda ya ziwa wanufaika na mbegu ya marando

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Ukiligulu imesema majani ya viazi vitamu maarufu kama marando yanaweza kuwainua kiuchumi wakulima wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kama watayazalisha kwa wingi kwa njia ya kisasa kwa ajili ya mbegu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima kupata soko kwa teknolojia

Wakulima wa nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kutumia teknolojia ya kisasa itakayowawezesha kupata kirahisi masoko na pembejeo za kilimo.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Na Ahmed Makongo,

Bunda.

 

Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.

 

Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.

 

where to get student loans with no credit

Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE -WAKULIMA WAJIKITE KATIKA KILIMO CHA TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KIPATO CHAO

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA 
WAKULIMA nchini wametakiwa watumie soko la Afrika Mashariki kwa kulima kilimo chenye tija na kutumia teknolojia mpya za kisasa huku wakiaswa kuachana na kilimo cha mazoea cha kujikimu ambacho hakiwaletei faida. 
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkurugenzi wa shamba darasa lililopo wilaya Kibaha mkoani Pwani Ephrahim Masawe na kuongeza kuwa soko hilo ndilo litakaloinua uchumi wao kwani linafaida kubwa. 
Jambo kubwa ni kutumia mbegu bora na kutumia teknolojia mpya ikiwemo...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI NA KUHAKIKI NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI KWA TEKNOLOJIA MPYA YA KYC KUPITIA SMARTPHONE LEO JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki. Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka Rasmi Uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart phone...

 

10 years ago

Michuzi

TEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE ITAKUZA KILIMO CHA MATUNDA NA MBOGA KWA WAKULIMA

Mtaalamu wa Mradi wa Kilimo chenye tija Tanzania (TAPP ), Mussa Madurufu ( anayenyosha mikono) akitoa elimu ya namna ya kuendesha wa kilimo cha bustani ya nyanya kwa njia ya teknolojia mpya ya umwagiliaji kwa njjia ya matone wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima Julai 20, 2015 katika bustani ya vipando vya mboga na matunda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), maonesho yaliyodhaminiwa na Asasi kilele ya sekta binafsi yenye lango kuu la kuhamasisha maendeleo ya kilimo cha mazao ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachina waleta teknolojia mpya

Kampuni ya Tanzania Gypsum Limited ya jijini Dar es Salaam, imeanza kutengeneza gypsum za aina yake zisizoshika maji.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Serikali isaidie teknolojia mpya’

Arusha. Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wametakiwa kuziunga mkono teknolojia mpya zinazoibuliwa za nishati mbadala za umeme wa jua ili ziweze kuwafikia wananchi walio wengi hususan wa vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani