Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yaipongeza Tanzania

MWAKILISHI Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello amempongeza Rais Jakaya Kikwete na Tanzania kuhusu msimamo wake thabiti wa kibinadamu wa kupokea wakimbizi kutoka nchi jirani katika historia yote ya miaka 54 tangu uhuru wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yaipongeza Burkina Faso

Marekani imewapongeza wananchi wa Burkina Faso na viongozi wao kwa kutia saini mkataba utakao ongoza serikali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yaipongeza ICC kesi ya Kenyatta

SERIKALI ya Tanzania imepongeza uamuzi wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) wa kufuta kesi iliyokuwa ikiwakabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto. Akizungumza jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaipongeza Kampuni ya Huawei Tanzania

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Prof. Makame Mbarawa ameipongeza Kampuni ya HUAWEI Tanzania kwa ushirikiano wao wa karibu na wizara katika kuchangia miradi mingi hususan mambo mengi ya TEHAMA .
Huawei Tanzania inafanya kazi kwa ukaribu sana ni wizara na kwa hivi sasa ni mojawapo ya Mtoa huduma za vifaa vingi vya ujenzi wa jengo jipya la DATA center.
Data center ni mojawapo ya ujenzi mkubwa unaofanywa na wizara ya sayansi na jingo hili litakua na kazi ya kuhifadhi DATA...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaipongeza China kwa misaada ya kimaendeleo

01

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe akitoa hotuba  kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya  Kikwete ambaye alikuwa  Mgeni Rasmi katika sherehe  ya mwaka mpya wa Kichina jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

Na Magreth Kinabo na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe, ameipongeza Serikali Jamhuri ya China kwa msaada wake wa kuhakikisha Tanzania imefungua idara ya maalum...

 

5 years ago

Michuzi

UNODC YAIPONGEZA TANZANIA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA

Na. Erick Msuya 
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kupitia kamisheni ya Kimataifa ya Kudhibiti Dawa za Kulevya limeipongeza Tanzania kwa jitihada madhubuti za kudhibiti na kupambana na tatizo la dawa za kulevya.Kwa mujibu wa taarifa inasema, juhudi hizo  zimeleta matokeo chanya katika mapambano ya dawa za kulevya duniani katika kipindi cha miaka  mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2018 hadi 2020.Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na...

 

9 years ago

Michuzi

BASATA YAIPONGEZA KAMATI YA MISS UNIVERSE TANZANIA


BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limeipongeza kampuni ya Compass Communications Tanzania kwa kufanya mashindano bora ya Miss Universe hapa nchini.
Kauli hiyo imetolewa na  Mratibu wa mashindano ya Miss Universe Fausta Magoti wakati wa kufanya tathimini ya mashindano ya mwaka jana ambapo, Caroline Benard aliibuka mshindi.
Magoti alisema kuwa pamoja na kampuni ya Compass kuanza kushiriki katika mashindano ya Miss Universe mwaka 2007, waliweza kufanya vyema na kuitangaza Tanzania nje ya mipaka...

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yaipongeza China kudhibiti biashara meno ya Tembo.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa zote zitokanazo na meno ya Tembo kutoka sehemu yoyote duniani kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa kusema hatua hiyo itasaidia kumaliza mauaji ya wanyama hao.

 

Uamuzi huo wa China unatokana na ushawishi wa Viongozi wa Afrika chini ya Rais Jakaya Kikwete na mataifa washiriki duniani ya Amerika, Ujerumani, Jumuiya ya Ulaya, Uingereza na Serikali ya...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YAIPONGEZA UCA-TANZANIA KUWANYANYUA WASANII CHIPUKIZI‏

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo . Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy akizungumza na vijana kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya uzinduzi. Baadhi ya wasanii chipukizi wa muziki na sanaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na baadhi ya viongozi wa UCA-Tanzania.… ...

 

11 years ago

GPL

MARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI‏

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani