Marekani:Polisi yashutumiwa kwa Ubaguzi
Polisi mjini Ferguson wameripotiwa kutumia nguvu nyingi na kusababisha mauaji dhidi ya kijana mweusi nchini Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/M2P*yMJoo7PEQ9jzb25LYU3v7zenWSRFEOvcGYc04pDm7cbNSWYQk1yXCiIEVjOHMSkHRyg9qDD2Qju3lnKMCewpzG8oWiF-/makamu.jpg?width=650)
UBAGUZI WA RANGI, MGOGORO WA KITAIFA MAREKANI
Spika wa Bunge la Baraza la wawakilishi nchini Marekani, John Boehner. Kufuatia kuongezeka ghasia zitokanazo na ubaguzi wa rangi Marekani, Spika wa Bunge la Baraza la Wawakilishi nchini humo amesema uhusiano baina ya Wamarekani wenye asili ya Afrika na maafisa wa polisi sasa umegeuka na kuwa mgogoro wa kitaifa. Waandamanaji wakiharibu gari la polisi. John Boehner katika mahojiano na Televisheni ya NBC amesisitiza kuwa maafisa wa...
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Obama ameshindwa kuondoa ubaguzi wa rangi Marekani
Waingereza wanao msemo na tafsiri yake isiyo rasmi ni kuwa: ‚Watu wanaoishi katika nyumba za vioo inawabidi wasirushe mawe.‘ Ina maana kwamba watu wachukue tahadhari, si kupurukuka tu kulaumu vitendo vya watu wengine ambavyo wao wenyewe wanavifanya. Kufanya hivyo ni unafiki.
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani
Maandamano makubwa ya amani yamefanyika kote nchini Marekani kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa polisi ikiwa ni siku ya 12 ya maandamano
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Balotelli:polisi wachunguza ubaguzi wa rangi
Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusiana na ubaguzi wa rangi dhidi ya Mario Balotelli
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Ubaguzi:Polisi wafanya msako Alexandra
Polisi nchini Afrika kusini vimefanya uvamizi mjini Johannesburg huku serikali ikijaribu kumaliza ghasia dhidi ya wahamiaji
11 years ago
Habarileo27 Jun
Mbunge: Kuna ubaguzi ajira Polisi
MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM), amelalamikia alichoita ubaguzi unaofanyika katika utaratibu wa kuajiri Polisi, ambao hupata ajira ya kudumu baada ya kutumikia jeshi kwa miaka 12.
5 years ago
CCM Blog31 May
MAANDAMANO YA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI NCHINI MAREKANI, SABABU NA HATARI ZAKE
![Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani, sababu na hatari zake](https://media.parstoday.com/image/4bv93bd9a04d931nvue_800C450.jpg)
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
China yashutumiwa
Makampuni nchini China yameingia shutumani kua wanatengeza na kusafirisha vifaa vya mateso kwa vikosi vya polisi duniani.
11 years ago
MichuziUbalozi wa Marekani wakabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la Polisi kikosi cha maji nchini
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania