Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubaguzi:Polisi wafanya msako Alexandra

Polisi nchini Afrika kusini vimefanya uvamizi mjini Johannesburg huku serikali ikijaribu kumaliza ghasia dhidi ya wahamiaji

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria wafanya msako mkali Abuja

Majeshi ya usalama ya Nigeria yamewakamata watu kadha katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja

 

10 years ago

GPL

AFRIKA KUSINI WAFANYA MAANDAMANO KUPINGA GHASIA ZA UBAGUZI

Waandamanaji wakipinga ghasia za kibaguzi dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini. Raia aliyejeruhiwa kutokana na ghasia dhidi ya raia wa kiwageni Afrika Kusini. Maelfu ya raia katika Mji wa Mashariki wa Durban nchini Afrika Kusini wanafanya maandamano kupinga ghasia za hivi majuzi dhidi ya raia wa wageni. Takriban watu watano wameuawa tangu wiki iliopita katika ghasia dhidi ya raia wa wageni kwa kile kilichodaiwa kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA

 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Jeshi la polisi mkoani  Geita limekamata bunduki saba (pichani) na mabomu kadhaa ya machozi eneo la Ushirombo wilaya ya Bukombe ikisadikiwa kuwa ni kati ya bunduki kumi zilizoporwa na majambazi yaliyovamia kituo cha polisi Bukombe na kufanya mauaji ya askari polisi wawili waliokuwa zamu  jana. Bunduki hizo, nne zikiwa SMG na tatu aina ya Shotgun  pamoja na panga zimepatikana  katika tanuri la kuchomea matofali zikiwa zimefichwa pamoja na mabomu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi nchini Ufaransa waendesha msako

Polisi nchini Ufaransa wameendelea na msako wa washukiwa wanaotuhumiwa kuwaua wafanyakazi wa gazeti la vibonzo la Charlie Hebdo.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi sasa wabadili mbinu msako wa albino Kwimba

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola akionesha picha ya mtoto Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndami, wilayani Kwimba kwa waandishi wa habari jijini Mwanza juzi ili kuwezesha yeyote atakayemwona kutoa taarifa Polisi ama kwenye ofisi za serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. (Picha na Grace Chilongola).POLISI mkoani hapa imetoa picha ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndami, wilayani Kwimba ili kuwezesha yeyote atakayemwona kutoa taarifa Polisi ama kwenye ofisi za serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ajali yaua Mtoto, msako wa Polisi waibua mazito Singida

DSC00179111

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP,Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu

MTOTO mwenye umri wa mwaka moja na miezi nane,Tungepesiaga Masudi,mkazi wa kijiji cha Rungwa tarafa ya Itigi wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida,amefariki dunia papo hapo baada ya kukanyangwa na gari STK 1005 Toyota Land Cruiser mali ya hifadhi ya pori la akiba la Rungwa.

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP,Geofrey Kamwela, alisema tukio hilo limetokea Julai 15 mwaka huu saa 3.15 asubuhi huko katika kijiji cha...

 

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI LAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALIOWAUA ASKARI WAWILI

Kamishina  wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) …Akisisitiza jambo. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kova kwa makini.…

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge: Kuna ubaguzi ajira Polisi

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM), amelalamikia alichoita ubaguzi unaofanyika katika utaratibu wa kuajiri Polisi, ambao hupata ajira ya kudumu baada ya kutumikia jeshi kwa miaka 12.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani:Polisi yashutumiwa kwa Ubaguzi

Polisi mjini Ferguson wameripotiwa kutumia nguvu nyingi na kusababisha mauaji dhidi ya kijana mweusi nchini Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani