Polisi sasa wabadili mbinu msako wa albino Kwimba
POLISI mkoani hapa imetoa picha ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndami, wilayani Kwimba ili kuwezesha yeyote atakayemwona kutoa taarifa Polisi ama kwenye ofisi za serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](https://lh5.googleusercontent.com/-zWOam5dPKSE/VLzrvfZfiZI/AAAAAAAAJFE/X8eoTLgJh8g/s72-c/blogger-image--619882701.jpg)
POLISI SASA MAJI YA SHINGO...WAAMUA KISAMBAZA PICHA ZA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA -KWIMBA
![](https://lh5.googleusercontent.com/-zWOam5dPKSE/VLzrvfZfiZI/AAAAAAAAJFE/X8eoTLgJh8g/s640/blogger-image--619882701.jpg)
10 years ago
Habarileo09 Jan
UN yaguswa na albino wa Kwimba
MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez amesema Umoja wa Mataifa (UN) umesikitishwa na kitendo cha kuporwa kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) na watu wasiojulikana kilichotokea katika kijiji cha Ndami wilayani Kwimba mkoani hapa ambapo hadi sasa bado hajapatikana.
10 years ago
Habarileo08 Jan
Albino wa Kwimba atafutwa usiku na mchana
JESHI la polisi mkoani Mwanza limesema hadi kufikia jana mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Pendo Emmanuel (4) aliyeporwa katika kijiji cha Ndami wilayani Kwimba alikuwa hajapatikana.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jQ6EO_Nz47o/VAyexLTS8-I/AAAAAAAGhNs/Vq-7Y2WmPaA/s72-c/8dcacabf33f6098a97598c1329d203b0.jpg)
BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jQ6EO_Nz47o/VAyexLTS8-I/AAAAAAAGhNs/Vq-7Y2WmPaA/s1600/8dcacabf33f6098a97598c1329d203b0.jpg)
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Polisi nchini Ufaransa waendesha msako
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Ubaguzi:Polisi wafanya msako Alexandra
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Ajali yaua Mtoto, msako wa Polisi waibua mazito Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP,Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu
MTOTO mwenye umri wa mwaka moja na miezi nane,Tungepesiaga Masudi,mkazi wa kijiji cha Rungwa tarafa ya Itigi wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida,amefariki dunia papo hapo baada ya kukanyangwa na gari STK 1005 Toyota Land Cruiser mali ya hifadhi ya pori la akiba la Rungwa.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP,Geofrey Kamwela, alisema tukio hilo limetokea Julai 15 mwaka huu saa 3.15 asubuhi huko katika kijiji cha...
10 years ago
GPLJESHI LA POLISI LAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALIOWAUA ASKARI WAWILI
11 years ago
CloudsFM25 Jun
POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...