POLISI SASA MAJI YA SHINGO...WAAMUA KISAMBAZA PICHA ZA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA -KWIMBA
![](https://lh5.googleusercontent.com/-zWOam5dPKSE/VLzrvfZfiZI/AAAAAAAAJFE/X8eoTLgJh8g/s72-c/blogger-image--619882701.jpg)
POLISI mkoani imetoa picha ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndami, wilayani Kwimba ili kuwezesha yeyote atakayemwona kutoa taarifa Polisi ama kwenye ofisi za serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.Picha hiyo ilitolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya matukio mbalimbali ya uhalifu.Alisema mtoto Pendo aliporwa na watu wasiojulikana kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM22 Jan
POLISI MWANZA WAMSAKA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA
POLISI wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani kwake na kupelekwa mahali pasipojulikana mwezi uliopita mkoani Mwanza.
Awali watu 15 walikamatwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kufuatia msako unaojulikana kama 'Hakuna kulala' dhidi mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Pendo Emanuel kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 27.12.2014 nyumbani kwao...
10 years ago
Habarileo19 Jan
Polisi sasa wabadili mbinu msako wa albino Kwimba
POLISI mkoani hapa imetoa picha ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndami, wilayani Kwimba ili kuwezesha yeyote atakayemwona kutoa taarifa Polisi ama kwenye ofisi za serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
10 years ago
Habarileo09 Jan
UN yaguswa na albino wa Kwimba
MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez amesema Umoja wa Mataifa (UN) umesikitishwa na kitendo cha kuporwa kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) na watu wasiojulikana kilichotokea katika kijiji cha Ndami wilayani Kwimba mkoani hapa ambapo hadi sasa bado hajapatikana.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Mtoto aliyepotea akutwa mtupu
MTOTO Lusia Moga (2) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha Julai 8, mwaka huu kati Kijiji cha Bukore wilayani Bunda, Mara amekutwa akiwa mtupu nyumbani kwa Magembe Nyabu, mkazi wa kijiji...
10 years ago
Habarileo08 Jan
Albino wa Kwimba atafutwa usiku na mchana
JESHI la polisi mkoani Mwanza limesema hadi kufikia jana mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Pendo Emmanuel (4) aliyeporwa katika kijiji cha Ndami wilayani Kwimba alikuwa hajapatikana.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-5mPG52N-zm0/VgVReaOVvjI/AAAAAAAAt8w/RwIS4olLH5E/s72-c/20150925063642.jpg)
MTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-5mPG52N-zm0/VgVReaOVvjI/AAAAAAAAt8w/RwIS4olLH5E/s640/20150925063642.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-epMam56GaSk/VgVReKNI8OI/AAAAAAAAt80/jTpBCrZvPHk/s640/20150925063641.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3A8rUyA9jKPU1d1v-n6*LI0dIebYPEJ99ovnEIQhXm-KC4Jc4J6uKGwKmL-*kRMIRCKwvIuDs2Djn5SRTfeyeNOYicz-a23J/IMG20140716WA0000001.jpg?width=650)
MTOTO ALIYEPOTEA CHANGANYIKENI YADAIWA ALICHUKULIWA NA BABA YAKE
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
HUSNA MALIMA: Mtoto aliyepotea katika mazingira tata
“HUWA machozi yananitoka ,nashindwa kula wala sipati usingizi, mtoto wangu kipenzi Husna Malima ametoweka katika mazingira ya kutatanisha wakati akicheza na wenzake.” Hayo ni maneno ya baba mzazi wa Husna(2); ...