Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masaju ateuliwa Mwanasheria Mkuu

RAIS Dk John Magufuli jana alifanya uteuzi wake wa kwanza kwa kumteua George Masaju kuendelea tena na wadhifa wake wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Masaju aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

Rais Dk John Magufuli amemuapisha George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu mjini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANASHERIA MKUU GEORGE MASAJU AAPISHWA BUNGENI

Mwnasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, akiapa bungeni mjini Dodoma leo Jumanne Januari 27, 2015, ili kufanya kazi yake bungeniWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, (Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma leo Jumanne Januari 27, 2015Spika wa bunge Anne Makinda, akiongozwa kuingia bungeni mjini Dodoma leo Jumanne Januari 27, 2015Waziri Mkuu, akiteta jambo na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo, (Kulia), bungeni mjini Dodoma leoPinda...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akuapisha Jaji Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais Dk. John Pombe Magufuli, leo asubuhi amemuapisha Bw. George Mcheche Masaju kuendelea kutumikia nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA GEORGE MCHECHE MASAJU KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, George Mcheche Masaju. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam. Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana...

 

10 years ago

Michuzi

Rais amteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju (pichani) kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano...

 

10 years ago

Michuzi

balosi seif akutana na mwanasheria mkuu wa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania Mhe george masaju

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. George Masaju ameahidi kutumia uzoefu wake alioupata katika ngazi ya Taifa na Kimataifa katika kuhakikisha jukumu alilokabidhiwa na Taifa analitekeleza katika misingi ya uadilifu. Mhe. Masaju alitoa ahadi hiyo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kushika wadhifa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE MWEUSI ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU NCHINI MAREKANI

Loretta Lynch ateuliwa kuwa mwanasheria mkuu nchini Marekani. Ikulu ya white house nchini Marekani inasema kuwa rais Brack Obama amemteua mwendesha mashtaka wa mji wa New York Loretta Lynch kuwa mkuu wa sheria nchini humo.Msemaji wa ikulu ya white house alisema kuwa mkuu huyo mpya wa sheria atateuliwa rasmi leo Jumamosi. Ikiwa uteuzi wake utaidhinishwa na bunge la seneti Loretta Lynch atakuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

USA:Mwanamke mweusi ateuliwa mwanasheria

Rais Brack Obama amemteua mwendesha mashtaka wa mji wa New York Loretta Lynch kuwa mkuu wa sheria nchini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani