Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masha adai mashtaka dhidi yake ni batili

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amewasilisha mahakamani pingamizi juu ya kesi inayomkabili ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, akisema mashitaka aliyofunguliwa ni batili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Msofe adai mkutano TBF ni batili

>Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini (TBF), Alexandar Msofe amedai kuwa mkutano wa bodi unaoanza leo mkoani Dodoma ni batili.

 

10 years ago

Vijimambo

MASHTAKA 7 DHIDI YA LOWASSA


Na. M. M. MwanakijijiWapo Watanzania ambao wanaamini na wanamtaka Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa awe rais wa awamu ya tano. Wana sababu zao za kufanya hivyo na wana haki zote za kumfanyia kampeni, kumuunga mkono, kumchangia na hata kujitolea kumsaidia apite kwenye mchakato ndani ya CCM na hata kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu. Haki hii ya kumchagua kiongozi unayemtaka ni haki ya msingi ya Kikatiba.Wapo pia Watanzania ambao hawaamini na hawamtaki Lowassa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashtaka dhidi ya Assange yaondolewa

Kiongozi wa mashtaka wa Sweden amemuondolea mashtaka mmiliki wa mtandao wa Wikileaks, Julian Assange

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda yasitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda

Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda imetangaza kuwa, nchi hiyo imesitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda waliokamatwa nchini humo.

Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya kuachiliwa huru raia 13 wa Rwanda waliokuwa wanashikiliwa nchini Uganda.

Taarifa hiyo imesema kupitia ubalozi wake mjini Kampala, serikali ya Rwanda imekaribisha kuachiwa huru kwa raia wake 13 na kurejeshwa Rwanda watuhumiwa wawili wa ugaidi waliohusika na shambulizi la Kinigi lililotokea Oktoba mwaka 2019.

Mapema mwezi...

 

5 years ago

Michuzi

ZITTO KABWE AHUKUMIWA LEO DHIDI YA MASHTAKA MATATU

Na Karama Kenyunko Michuzi TV MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Ztitto Kabwe, kutotoa na kutoandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Zitto amehukumiwa leo mahakamani hapo baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 29, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi 15 wa upande wa mashtaka na kuzingatia utetezi wa Zitto...

 

10 years ago

Bongo5

Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake

Muibaji wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka aliyefiwa na mama yake mzazi hivi karibuni, amesema mafaniko aliyopata katika muziki wake yametokana na mama yake. Aslay ameiambia Bongo5 kuwa mama yake ndio alikuwa akimsihi na kumtia moyo katika muziki wake. “Wakati naanza muziki kabisa nafikiri mama yangu ndio alikuwa ani-support kwa kusema ‘mwanangu nenda huku […]

 

9 years ago

Bongo5

Keko aitaka lebo yake, Sony Music Africa imwachie aende, adai imekwamisha mambo yake

21362c1c39-KEKO-NU

Rapper wa Uganda, Keko anaitaka lebo yake, Sony Music Africa imwachie aende zake.

21362c1c39-KEKO-NU

Rapper huyo Ijumaa hii ametoa malalamiko yake kupitia Twitter kwa madai kuwa hajawahi kuwa na furaha kwenye mkataba huo wa miaka minne sasa.

Amedai kuwa Sony wamekuwa wazito kuachia nyimbo zake na hivyo kuwaangusha mashabiki wake.

“Nadhani ni bora kwa mashabiki niondoke Sony,” ameandika.

Hivi ndivyo alivyoandika:

I want @SonyMusicAfrica to release me from that contract because I’ve clearly been unhappy close...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jack Warner akanusha mashtaka yake

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Trinidad na Tobago ametoa kibali juu ya kesi iliyofunguliwa na Marekani dhidi ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa FIFA Jack Warner

 

11 years ago

BBCSwahili

Mke wa zamani wa Mandela adai mali yake

Mke wa zamani wa hayati Nelson Mandela, anataka watoto wake wapewe nyumba ya marehemu iliyoko kijijini Qunu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani